Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Niliona haisaidii nitamuumza na mpaka sasa sina cha kufanya ghalama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikua hahudumii nifanyeje jamani mtoto alikua anakesha usiku analia nahangaika,
Mkuu pole sana, kinachokuumiza hapo sio gharama za malezi bali ni imani na commitment uliyojiwekea kwa huyo mtoto.

Ila haina haja ya kuendelea kuumia maana inawezekana baada ya miaka kadhaa ukaja kumlea mtoto mwingine kwa gharama zaidi hata ya hizo ulizotumia.

Ifanye iwe ni moja ya misaada mikubwa uliyowahi kuifanya kwenye maisha yako. Na wala usiishi kwa kutaka kumlipizia huyo msichana kwa alichokifanya maana hukumsaidia yeye bali huo msaada ulioufanya ni kwa ajili ya huyo mtoto.

Just move on mkuu, maisha ndio haya haya.
 
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,

Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu

iko hv, nlikua kwenye mahusianono na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao nilitumia gharama nyingi ili isjulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyo jifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakua ndio mtoto wangu wa kwanza,

Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu

Ukatili niliofanyiwa Alikua akienda kilinic kadi ya kilinic kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko clnc ananiletea kadi naiona,

kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nkamwambia haitwi esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la balele sio lakwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija klnc atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kua hivyo sababu kadi naijua ina jina langu

Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofka jioni akaja, nlimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukwel najua kila kitu na balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa balele, nilipwatwa hasira nilimpiga

niliona haisaidii nitamuumza na mpaka sasa sina cha kufanya ghalama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikua hahudumii nifanyeje jamani mtoto alikua anakesha usiku analia nahangaika,

Naitaji faraja.

Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
Halafu Balele mwenyewe nipo hapa nakuchora tu na kukucheka kwa namna ulivyokuwa Boya kwa muda wote huu! 👳

Sasa sijui unahitaji faraja gani kutoka kwa Wajumbe!! Kama vipi wewe nenda tu kilabu cha jirani na hapo kwenu, ukapunguze mawazo.
 
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,

Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu

iko hv, nlikua kwenye mahusianono na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao nilitumia gharama nyingi ili isjulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyo jifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakua ndio mtoto wangu wa kwanza,

Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu

Ukatili niliofanyiwa Alikua akienda kilinic kadi ya kilinic kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko clnc ananiletea kadi naiona,

kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nkamwambia haitwi esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la balele sio lakwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija klnc atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kua hivyo sababu kadi naijua ina jina langu

Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofka jioni akaja, nlimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukwel najua kila kitu na balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa balele, nilipwatwa hasira nilimpiga

niliona haisaidii nitamuumza na mpaka sasa sina cha kufanya ghalama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikua hahudumii nifanyeje jamani mtoto alikua anakesha usiku analia nahangaika,

Naitaji faraja.

Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
Elimu yako plz
 
Wakat mwingine sisi wajinsia ya kike tunakuwa nyoko sana
 
Back
Top Bottom