Recent content by Malugu wa Malugu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sunset somehow in Dodoma

    Wonderful home sweet home
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli Ikulu ya Dodoma haipendezi, Ukame na hali ya jangwa kunaifanya isiwe na mvuto wa kimuonekano

    Kwan kama haipendezi kazi haifanyikia au huo ni ulimbukeni kuduan pakiwa kijan ndo maendeleo, na nchi za jangwani Chad, libya, Sudan, Algeria, saudia arabia huko hawana IKULU?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata pikipiki bora ya mtumba. Nipo iringa tafadhali naomba ujuzi

    Dar mbagala Zachiem pale kuna mapikipiki ya kila aina nenda hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Makao makuu ya nchi ni wapi wanaopinga waache kukurupuka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikal haina pesa

    Hata ikipita miaka 20 kikwete atajadiliwa kuna mambo ya kumhoji.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na hili la ubaguzi halmashauri ya Mbeya

    Mbeya kuna ukabila maakina MWA yana ukabila sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mume wa muimbaji wa nyimbo za injili anaetuhumiwa kumbaka shemeji yake huyu hapa

    DAIMA YESU ni Mungu ukibisha nenda jehanam inakusubiri. I love my saviour.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya update bodi ya mikopo elimu ya juu kwa OLAS

    Mwaka huu hamna kupdate.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    waslam wanatupigia makelele na swala swala mbona hatusemi acha wahubiri kama vp nunua gari binafsi uone kama watakuja.
  10. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nitumie na. yako basi tuchat evelyine nikupe na mbinu za kuhama.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania peke yake wanaojua kuongea english wanaitwa wasomi?

    Tanzania lugha kuu ni kiswahili, Kiingereza no dhahili kukijua vema hadi upige shule ya kutosha na hapo lazima utakua msomi tayari.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wapuuzi tu! CCM wangetaka S3, wao lazima wangetaka S2, maana wao ni wapingaji wa kila KITU!

    Hiv KAtiba maon ya chadema au watz ndo wameamua serikali 3 nenden mkafie huko na ccm yenu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Nyie waislam wapenda ubishi hadi mnajitoa mhanga, dini gan hiyo?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Update kuhusu post za ualimu second selection

    Hakuna subir mwakan tu.
Back
Top Bottom