Hapo Maana yake unachukua namba ya CHINI unazidisha Na ile ya juu. Ndiyo Maana kapata ifuatavyo
4x5=20
6x5=30
7x6=42
8x7=56
Kwa hiyo Hapo Kwenye 9 unachukua namba ya CHINI ambayo Ni 10
10x9=90
Hapo jibu Ni 90
Hakuna ubaya kuweka Fedha Kwenye FD Kama yafuatayo hayatafanyika:
1: FD interest Kwa Fedha yoyote inayozidi 500,000,000/- riba yake huanzia 10% hadi 15% kutegemeana Na Benki pamoja Na makubaliano ambayo Ni Matokeo ya majadiliano Au negotiations. Wizi unakuwepo kama makubalino yataishia KUTOA...
Au katumwa Na Kinana ili KUTOKANA Na kauli zake ilazimike kuitishwa kikao Cha Kamati Kuu ya Chama kujadili "hali ya kisiasa" maana Kaona Mwenyekiti yuko kimya.
AIBU SANA nyinyi wote MNAOSEMA Mukandara KAFANYA KAZI VIZURI SANA! Nani kati Yenu anayeujua VIZURI mkataba wa mlimani city AMBAO wamekodishwa watu Binafsi Kwa miaka 50 Kwa malipo ya ASILIMIA 10 TU ya mapato???
Aliye karibu Na mwanamke ndiye Mume wake. ANGALIA Hapo Kwenye mazingira unamoishi, KAZI, kusali kufanya maombi, MAZOEZI nk huwezi kumkosa. Lakini usiyemjua KABISA unaweza kujuta baadaye.
Wote mnaomtukana Lusinde nyinyi ndio WAJINGA MLIOVUNJA REKODI YA UJINGA. mtu akiongea hoja unachotakiwa kujibu Ni hizo hoja siyo matusi. Wabunge Darasa la Saba mbona HATA wapinzani wengi tu sifa Yao ktk Elimu Ni Hilo Drs la 7? NYANI HAONI KUNDU LAKE
Mimi pia Ni Mzee Na Sisi Wazee ndio tunajua thamani ya Kuwa mwanachama tumechangia mengi Kwenye timu zetu huwezi kuchukua timu alafu ukasema tu 75% itakuwa Yangu alafu 25% Yenu. HUO ungekuwa ujinga sawasawa Na ule wa sultan Mangungo aliposaini mkataba wa Carl Peters bila HATA kuusoma. Wenzao wa...
Alirejesha amani Kidikteta! Fukuza fukuza ya viongozi wenzie Baada ya Kuwa kawalipa elfu tanotano waliokuwa wanahudhuria mkutanoni Ndiyo ilikuwa Staili ya uongozi!!! Mtu kachaguliwa mwezi mmoja uliopita anafukuzwa bila kujieleza uliona wapi?? Nilijua atakwama tu. Nikiwaangalia SANA usoni...
Shafii Dauda Kuwa Yanga Au Simba Ni kosa?? Fikirini Kwa Kichwa badala ya matako. Nyinyi ndio mlikuwa mnalala chumba kimoja Na Manji timu ilipokuwa ikisafiri nje. Tatizo nini mbona Dangote atawarithi???
Tutapata Tena rekodi ya mabao mengi Safari hii tunavunja rekodi ya 1976 ya 6-0. Bahati nzuri wenzetu huwa WAKIWA Na gogoro Kama HIKI huwaambia WACHEZAJI wao waachie ili kukomoana. Teh Teh Teh.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.