Recent content by mallyaprosper

  1. mallyaprosper

    Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

    Magugu ni dicte Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mallyaprosper

    Ni nini huwafanya wanaume kuwatamani wanawake tofauti wakati ina ladha ileile?

    Ukishamkataa shetan na yeye atakukimbia,, Sasa we unataman na wakat imeandikwa ustaman. Na unazini zini na imeandikwa usizini. Lakin mganga akikuambia usilale chumbn yako we unatii na unafanikiwa. Lakin ya KIMUNGU hapana.. Ibilisi lazma achukue nafas Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mallyaprosper

    Baada ya uamuzi wa Mahakama ya Kenya,Zitto asema Katiba Mpya ni lazima lazima lazima

    Ni shida. Wananchi wapo tyar lakin viongoz wanaotaka hayo mabadlko hawajitokez adharan wanazungumzia kwenye vyombo vya habar na nyumban mwao.. Inatakiwa watoke rodin kila jumatatu ya wiki mpaka kieleweke kama kenya wakat wanadai Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mallyaprosper

    Baada ya uamuzi wa Mahakama ya Kenya,Zitto asema Katiba Mpya ni lazima lazima lazima

    Hawakukataa rasim ya warioba ! " Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mallyaprosper

    Baada ya uamuzi wa Mahakama ya Kenya,Zitto asema Katiba Mpya ni lazima lazima lazima

    Waoneshe kuipigania kama kenya walivoungana pamoja kama tim 1 Na wakaondoa ule udkteta Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mallyaprosper

    Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

    Imegeuka sasa Raila kashinda"""! Sasa unafanyaaje"!? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mallyaprosper

    Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

    Alisahau kuwa hawez kuwa na maamuz ya Mungu. Kenya ni wakati wa Mungu umefika Raila nae atawale. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mallyaprosper

    Tundu Lissu alonga mambo mhimu na makubwa juu ya yaliyotokea Kenya

    Uccm unakusumbua lisu kajieleza hvo kama kuna hvyo vngne jieleze vzr pia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mallyaprosper

    Tundu Lissu alonga mambo mhimu na makubwa juu ya yaliyotokea Kenya

    Ingekuwa kichekesho. Mi nasema na naendelea kusema chadema ikisimama vema kwa kutumia rasilimali watu kama ilivyokua kenya..!! "katiba itapatikana tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mallyaprosper

    James Orengo vs Tundu Lissu

    Lisu nimemwona kama mtu wa haki sana na kufuata sheria. Ndio maana kesi zinazomhusu nyingi anashinda kwa ushind Ila watu wengi wasiofaham sheria wanaweza wasimwelewe. Ukitaka kumwelewa sikiliza hoja yake tangu mwanzo utamwelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mallyaprosper

    Richmond: Watanzania tulimlipa Lowassa Mil 150 kila siku...

    Siyo lowasa ni richmond Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mallyaprosper

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Pia Mungu humpa mtu kunena kwa styl na lugha apendavyo yeye siyo lazma unene kama wale wanafunz wa kwanza wa matendo ya mitume 2
  13. mallyaprosper

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Kunena kwa lugha kupo kibblia kabisa na hata mi nanena kwa lugha nisiyoijua inatokea wap wakat wa kuomba... Ukishaokoka inakupasa utaman kunena kwa lugha...fanya utafit wa neno la Mungu maana halisemi uongo.
Back
Top Bottom