Baada ya uamuzi wa Mahakama ya Kenya,Zitto asema Katiba Mpya ni lazima lazima lazima

57a969634983acd74a1249b77e951d56.jpg


blame no body
 
Hakuna kipya ...kwani hatujui hilo? Tunawataka waje na mikakati si porojo za umuhimu wa katiba mpya ambazo tunazijua .....
 
Bahati mbaya kabisa Tz wanategemea hisani za Maghufuli na CCM katika kutoka maamuzi muhimu kama katiba mpya. Nchi yangu hii ilipandikiza ujinga na uoga kwa raia wake. So sad

Cairo's
Ni shida.
Wananchi wapo tyar lakin viongoz wanaotaka hayo mabadlko hawajitokez adharan wanazungumzia kwenye vyombo vya habar na nyumban mwao..

Inatakiwa watoke rodin kila jumatatu ya wiki mpaka kieleweke kama kenya wakat wanadai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shida.
Wananchi wapo tyar lakin viongoz wanaotaka hayo mabadlko hawajitokez adharan wanazungumzia kwenye vyombo vya habar na nyumban mwao..

Inatakiwa watoke rodin kila jumatatu ya wiki mpaka kieleweke kama kenya wakat wanadai

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafki na uswahili unaiangamiza nchi hii na CCM wanatumia udhaifu huo. Hebu mwangalieni Mzee Samwel Sitta alivyoipotezea nchi fursa isiyohitaji maandamano wala damu. Alidhani atadumu milele

Cairo's
 
Umesahau kwamba Sumaye na Lowassa pia walikuwa wajumbe?

......
Hivi nikwanini mnawafuatafuata Sumaye na lowasa hivyo? Hii inaonyesha ni jinsi gani uwepo wao chadema unavyo watesa. Kweli mumekwisha. Ukiona mtu anakupiga vita sana ujue anakuogopa. Hii pia inaonekana wazi kwa serikali invyowaonea wapinzani, haitaki waongee. Kama mnadhani wapinzani hawana nguvu, ruhusuni uhuru wa mikutano muone kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom