Recent content by maliuogo

  1. maliuogo

    Kwa mujibu wa Sheria mpya za madini, CAG hana mamlaka ya kukagua migodi

    Watu jaribuni kusoma sheria vizuri tusiwe tunakuja na mihemuko tu bila kujua jambo, CAG hakagui migodi jamani hizo ni sekita binafisi, ndio maana kaitwa CAG, mkaguzi wa fedha na hesabu za serikali. Unaposema mererani na kujengewa ukuta Rais alifanya hivo kwa ajili ya kudhibiti utoroshaji wa...
  2. maliuogo

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Huu uzi uliandikwa mwaka 2013, na kila ukiangalia maelezo yanaonesha uchaguzi wa madiwani huo mwaka, kwahiyo tuanze kujadili uzi wa mwaka 2013?
  3. maliuogo

    Tathimini yangu juu tuzo za kimataifa za filamu za sinema zetu l-SZIFF2018

    Sasa makonda na Mambosasa tangu lini wakawa waigizaji? Watu tuwe serious na mambo mhimu mda mwingine kutwa tunalalamika wanatupiga na kutuumiza mtu anaibuka kusema walipewa jana tuzo gani! Hii shida nayo
  4. maliuogo

    Tathimini yangu juu tuzo za kimataifa za filamu za sinema zetu l-SZIFF2018

    Kichwa chako kina matatizo ndugu, tunajadili namna ya kuboresha na kukuza filam zetu wewe unaibuka na mambo ya Makonda, sasa hapa yanahusiana vipi na tuzo za jana, kweli sisi watanzania tuna safari ndefu sana
  5. maliuogo

    Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Hahahaha, hahahahahaaaa hiyo mwandishi wa habari MBM ulifundishwa chuo gani? Kuna Journalists San Frontiers, sasa hiyo, Ngurumo kweli
  6. maliuogo

    CCM ina ubavu wa kumwondoa Rais madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia Zuma?

    CCM hatuwezi kumutoa nyinyi mnaweza kumuondoa Mbowe aliyejimilikisha cham?
  7. maliuogo

    Afisa kilimo wa kata ameng'oa mahindi kwenye shamba la Mama yangu akamlazimisha ampe na kuku wawili

    Kiongozi mimi mama simu nilimununulia akakataa kuitumia akasema nimpe jirani akiwa na shida atakua anaenda pale kuwasiliana basi nikamkubalia, na mm sijasema hilli jambo liende kwa nani niliandika kama kupata ushauri
  8. maliuogo

    Afisa kilimo wa kata ameng'oa mahindi kwenye shamba la Mama yangu akamlazimisha ampe na kuku wawili

    Binadamu wote hatuko wakamilifu kila mtu anamapungufu yake yaweza kuwa na mm nimapungufu yangu ndio maana nikaomba ushauri, lakini pia kila mtu anamawazo yake mwingine atakutukana ni sawa yote ni maisha haina tatizo, ungesoma vizuri nilivoandika hapo hata usingenimbia hivo mimi hilo tatizo...
  9. maliuogo

    Afisa kilimo wa kata ameng'oa mahindi kwenye shamba la Mama yangu akamlazimisha ampe na kuku wawili

    Ukumbuke kiongozi mimi angeng'oa mahindi akatoka nisingelalamika huku , kingine mimi sikujua mama kapanda mahindi kwenye pamba kaja kuniambia alipochukuliwa wale kuku maana na yeye anavodai alikuwa hajui angepewa somo la kilimo cha pamba na afisa kilimo nadhani asingefanya hivo inshu ni kumuacha...
  10. maliuogo

    Afisa kilimo wa kata ameng'oa mahindi kwenye shamba la Mama yangu akamlazimisha ampe na kuku wawili

    Anaitwa Edward, nimeumia sana kumbe bado tunanyanyasana sana jamani,
  11. maliuogo

    Afisa kilimo wa kata ameng'oa mahindi kwenye shamba la Mama yangu akamlazimisha ampe na kuku wawili

    Mkuu mama nilimununulia simu akaikataa hawezi kutumia ikabidi nimpe jirani pale nyumbani ili tuwe tunawasiliana , nakiri kwamba alikosea kuchanganya mahindi kwenye pamba kilichoniumiza ni mama kuchululiwa wale kuku, ilitosha tu hiyo adhabu yakutoa mahindi kwenye pamba
  12. maliuogo

    Afisa kilimo wa kata ameng'oa mahindi kwenye shamba la Mama yangu akamlazimisha ampe na kuku wawili

    Kama nilivoeleza hapo juu, mimi ni kijana mtafutaji kwa sasa niko hapa mjini Dar, sasa kule kijijini kwetu wanyonge wanaonewa kweli wapendwa. Mama yangu mzazi anashamba lake kalima pamba kachanganya na mahindi kwenye ile pamba na amefanya hivo kwa lengo lakutaka kujiongezea kipato. Maana ana...
  13. maliuogo

    Natafuta mume

    Wewe mwaka jana ulikuja humu unatafuta mme hulkupata tu
Back
Top Bottom