Kama sikosei kuna mahali pameandikwa kwenye biblia ya kwamba waliokufa hawana hijara kati ya walio hai na kumbukumbu lao limesahaulika... Na ibada za kuwasiliana na wafu zipo karibia jamii nyingi duniani...hata huku Afrika
1.Maelezo yako hayana research ndani yake, Iceland ndio nchi inayongoza kwa mining firm na masternode za kutosha ,
Pakistan wame toa proporsal ya Ku lunch cryptocurrency yao wenyewe.
Indonesian ndio nchi ambayo ipo kwenye top five ktk matumiz ya cryptocurrency ikifuatiwa na Philippine
2.Hio...
DAY 1.
Kwa Leo acha nianze kuelezea styli hizi za ufanyaji wa biashara kwa upande zaidi wa cryptocurrency na stock pamoja na mikakati.Japo siwezi kumaliza zote kwa Siku ya Leo.acha tuanze na hizi NNE kwanza
1.Scalping
2.Day trading
3.Swing trading
4.Positional trading
Fahamu ya kwamba kabla...
BITCOIN
Wakati naandaa taarifa hii btc ilisimama kwenye bei ya dolla 6327,ambapo imepanda kwa kiwango cha asilimia 1.99% ndani ya masaa 24 yaliyopita .Zaidi ya dola million 260,zenye thamani ya bitcoin ziliweza kibadilishwa kwenye BTC/USD,ambapo ni sawa na asilimia 18% ya mzunguko kwa siku...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.