History Of The Necronomicon kwanini ni kitabu hatari?

Necronomicon (Book of the Dead) kwa kiarabu kinaitwa kitab al azif inasemekana kilianza kuandikwa nchi za uarabuni, kinahusika na uchawi wa kuwasiliana na watu waliokufa.

Cover ya kitabu imetengenezwa na ngozi ya binadamu, na maandishi yameandikwa na damu ya mtu

Hiki kitabu nlikijulia kwenye filamu ya evil dead (1981) ya Ashley yule jamaa ambaye mkono wake ulikatika, akaufunga chainsaw ili akate mazombi..
 
Umeelezea vizuri mkuu je mpaka Sasa kipo wapi kitabu hiki na Kuna ubaya gani mtu kufanya mawasiliano na wafu ?
 
Kama sikosei kuna mahali pameandikwa kwenye biblia ya kwamba waliokufa hawana hijara kati ya walio hai na kumbukumbu lao limesahaulika... Na ibada za kuwasiliana na wafu zipo karibia jamii nyingi duniani...hata huku Afrika
 
Wafu wanalala...

Shetani ndiye anayevaa umbo la mfu unayetaka kuwasiliana Naye...

Ndio maana..Isa ..mwili wake haukubaki kaburini....Musa..alifunikwa na wingu na hakuonekana Tena..kwamba hakuna kaburi lake ...

Hawa wangezikwa basi bilisi angeweza kuvaa miili yao na kupotosha wengi!...
 
Mimi nimekisoma na ninakitumia, hivi vitabu vinafaa sana, humo ipo hata namna ya kuita mvua, ila sasa masharti yake unaweza kuonekana mwanga.
 
Mleta mada pitia humo kwenye link
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom