Recent content by malisak

  1. malisak

    Wako wapi watu wako mliosoma wote

    Sitaki hata kuwaona kufuatana kwenye maisha baada ya shule ni umbea tu na nimekoma. No reforms no election
  2. malisak

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Sio wote wanahitaji watoto Kuna wagane pia hawahitaji watoto wa ziada wanahitaji wenza wa kuwapa company kumalizia muda wao nao wasitafute wenza?
  3. malisak

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Ameniomba nampostie akinituma nitakuwa jini tayari
  4. malisak

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Well said mkuu Kuna muda mtu anatafuta furaha na kuwa na msaidizi ni muhimu maana ubinadamu una mambo mengi ndio akose hata wa kumpa maji akipaliwa usiku kisa umri?
  5. malisak

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Watazingumza Wenyewe wahojiane maana maombi Yana kukubaliwa na kukataliwa
  6. malisak

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Sitaki kujitia pressure
  7. malisak

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Wataenda kuchimbuana hukohuko
  8. malisak

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa. Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto...
  9. malisak

    PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    Njaa mbaya tutaona mengi mwaka huu Watu Wana mipango mizito ya kuchomoa mpunga
  10. malisak

    PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Yote kheri maana kura yangu ilishaharibika kitambo
Back
Top Bottom