Recent content by Malikauli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Mzee uko Kigosi? Vipi mali hapo inaonekana? Kuna jamaa yangu alibahatika kupata leseni hapo anajipanga kuingia kazini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kigongo Busisi bridge cuts time travelling from 35mins to 4Mins!

    jingalao hii ungeiweka kwa kiswahili na hela ukaziandika kwa maneno wajinga wenzako tungeelewa vema zaidi :D:D.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Milango na Madirisha

    Hii screenshort Hii screenshot naona haifunguki, mi nipo Dsm natafta huduma hii. Naomba details zaidi kuhusu hawa
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii hamjaiona kwani? TANESCO
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo umbali wa mita 140 kutoka kwenye nyumba yenye umeme, mimi nilipo nahitaji njia tatu kwa ajili ya kuendesha mashine, hii itagharimu kiasi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mkoa wa Kagera ni washirikina sana tofauti na tunavyowachukulia

    Mzee hili la Rutihinda kuzikwa Buguruni lifanyie utafiti zaidi, mimi huyu Gavana akifariki wazazi wangu walikua wanafanya kazi huko nakumbuka Ngara ilikua na wageni wengi walikuja msibani kutoka Dsm so I believe alizikwa Ngara. Kuhusu kujenga kwao you might be right or wrong, nyumbani kwao mpaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bar ya Board Room inaungua

    Nina wasi wasi maombi ya walokole ndo yanatuletea hizi shida. Serikali iingilie kati.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nachelewa kufika mwisho hata niendeshe vipi

    Nyie ndo mnatuharibia barabara mnatembeza magari hammalizi safari mnaacha barabara imejaa mipasuko tukija na magari yetu classic tunaishia kuvunja shaft za magari. Angalia aina ya oil unayotumia nyingine ndo hizo gari linaishia kutoa moshi tu, kama si hivyo badili gari haraka chukua chuma...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

    Benki ya kifala sana hii kwa sasa, wapo na huduma yao ya e-banking wanahimiza watu kujiunga ila bado wako zama za mawe hawa jamaa. Wiki jana nilitoka nje ya nchi kidogo nikataka kutuma chochote kwa familia hii "system"yao inagoma haitoi password, kutafta msaada kwao zaidi ya wiki mbili hakuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Anything, mention it. Matunda, mahindi, migomba, ufuta, mahindi...nk. Ni pori bado sijaweza kusafisha ila ni eneo potential sana na mto uko in less than 2km
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Ninazo heka 50 karibu na mkata, kama vipi njoo hayo mawazo yako tupige partnership
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu NGO inayoitwa PCHA Tanzania

    Hii iliishaje mkuu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita asimamishwa kazi

    Kwani ni lini Wakurugenzi wa Serikali hii wameanza kutumia Rav 4? Wananchi walishapiga kelele hizi V8 ziondolewe kupunguza gharama ila bado tunawaona viongozi kibao wanazo na mpya mtaani, huyu jamaa ameonewa tu kwa maneno ya mwanasiasa tena mwanasiasa mwenyewe kichwa kibovu. Hivi zile V8 za CCM...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    Hahahahaa...hii thinking yako inatosha kutujuza SAUT kinatoa watu wa aina gani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Recliner Sofa pure leather zinapatikana zikiwa na Warranty ya miaka 10

    Kwema? Sorry mnaweza kunilink na mtaalam wenu kuassemble recliners? Ninayo seti yangu bado mpy sema watoto wamerukia rukia zimelegea nahitaji kurekebisha
Back
Top Bottom