Nachelewa kufika mwisho hata niendeshe vipi

Tunampa msaada walau afike.

We masaa matatu hufiki wese likikata usiku huu itakuwaje.

Anaenda tuuu hajui ndo kwenyewe yupo tu anaangaza macho.
Kwa hiyo unamshauri abadili njia au aongeze kasi ya mwendo?
 
Route mbaya sana hiyo mkuu toka mwanzo wa safari barabara ina mbavu za mbwa hata gari iwe mpya kiasi vipi kwa hizo mbavu za mbwa uwezi kufika.

Pita barabara nzuri utarudisha mrejesho utakuwa tayari hata kuweka chakula kwenye barabara na kukilamba bila wasiwasi sababu barabara imejengwa kwa standard zote.

Pia barabara inafanyiwa usafi kila siku hakuna mvumbi si pembeni ya barabara wala katikati ya barabara.

Hapo gari utateleza kwanza hata rubber huyotaka kutumia kwa ubora wa barabara utasema unataka kutembea na tube bila tyre.

Sababu barabara barabara hakuna chembe hata ya mwimba badiri barabara hiyo route ya mbavu za mbwa achana nazo maana toka mwanzo wa safari unawaza puncher muda wote hapo gari haliwezi fika hata siku.

Ila nakupa husia pamoja na barabara zetu hizo za standard usijiamini kutembea bila rubber kisa unaona barabara ni nzuri si kama hiyo unayopita wewe ya mbavu za mbwa.

Sema barabara nzuri kuna gharama za hapa na pale ilikuweza kufanyiwa usafi na marekebisho ya kila siku kutunza ubora wake usisahau kuwa na pesa ya kutosha ili ufaidi barabara za standard kila upitapo maana gari litafika salama na escort kwa usalama zaidi.

Kila la kheri kwenye kubadili route na kuanza safari njema.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kapime hospitali. Unaweza kuwa na matatizo ya akili mwanangu maana si kawaida eti masaa matatu kama ni kweli.
 
Nyie ndo mnatuharibia barabara mnatembeza magari hammalizi safari mnaacha barabara imejaa mipasuko tukija na magari yetu classic tunaishia kuvunja shaft za magari. Angalia aina ya oil unayotumia nyingine ndo hizo gari linaishia kutoa moshi tu, kama si hivyo badili gari haraka chukua chuma ambacho unapata mzuka kukiendesha, gari liwe safi, suspension ziwe kamili na system ya umeme iwe poa.

Kuepusha ajali usiendeshe gari ukiwa na stress au uchovu mwingi. Kama hautojali niazime hilo gari nipigie safari fupi nikuletee mrejesho kama shida ni gari
 
Nitumie plate number ya gari pm ili niisake kwa ajili ya ukaguzi. Ili nijue tatizo ni gari au dereva ndio hana leseni!
 
Magari ya kuomba nayo sio mazuri.

Unaweza ukakuta umezoea gari lako linatingisha au linarukaruka kama limekata shokomzoba kisha unaomba gari imetuliaaaa hata ukiingia kwenye shimo halishtuki na ukitest moto haliwaki haraka ukipiga resi limetulia. Tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom