Recent content by maliarej

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mbezibeach kwa bei chee 120milion tu

    Poa nimekupata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mbezibeach kwa bei chee 120milion tu

    Sawa hicho cha sqm 620 bei ya mwisho kabiasaa kinapungua hadi ngapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mbezibeach kwa bei chee 120milion tu

    Sasa hapo unanichanganya umesema sqm 6oo na jumla 12oo sasa hiyo 620 unetoa wapi na kila kimoja kina 600×2=1200 hebu rekebisha hapo tujuecukweli ni upi kabla sijatoa oda yangu
  4. M

    JamiiForums Tanzania CV ya James Mbatia na kelele zake kuhusu uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma

    Hapo kuna watu walitumia majina ya wengine lakini walisoma wao hapo nitofauti na mwenye cheti wakati hakusoma yeye na akajiriwa kwa cheti cha chuo akapata mshahari mkubwa wakati hakustahili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lushoto: Jeshi la Polisi laua Majambazi na kukamata silaha

    S/Gun=shurt gun na smg= Sub mashiner gun
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako awatupia lawama Bodi ya Mikopo kufanya kazi kwa mazoea, arejesha posho ya 8,500

    Lakini mchakato waliutangaza kwanii waziri alikaa kimya tena wanafunzi elfu 88 waliopata elfu 22 hapo bado tu hakustuka na hali hiyo naye anastahili kutumbuliwa[emoji51] [emoji51]
  7. M

    JamiiForums Tanzania TVS vs BOXER BAJAJ ipi mashine ya ukweli zaidi

    Honda xL inagharama kubwa kwenye matengenezo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

    Kilimanjaro malaria ipo@ forever
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natoka morogoro

    Mimi nimgeni humu naomba ushirikiano wenu wandugu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hajawahi kuzungumzia Habari ya Gesi?

    Gesi ipo ila huenda wakubwa washakula
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, akanusha uvumi wa kutenguliwa kwa Gambo

    Du kwa hali hii tutafika pabaya
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC Gambo amwagiza RPC Arusha kumuweka ndani mwandishi wa Azam Tv muda huu

    Vyombo vya habari viko huru kuhabarisha uma kinacho onekana sasa utawala hawataki watu wawe na habari za serikali
Back
Top Bottom