Nauza Kiwanja Mbezibeach kwa bei chee 120milion tu

Nauza Kiwanja Mbezibeach kwa bei chee 120milion tu

Conroy

Senior Member
Joined
May 23, 2014
Posts
158
Reaction score
44
Viwanja vipo viwili sehemu moja (ndani ya fensi) vina nyumba za kawaida sana Karibu na kanisa la Rutheran hapo tangibovu.
1. 620sqm kwa 120milion
2. 1200 sqm kwa 220milion

Call 0689315582
 
All the best. Wengi wameshashushwa kutoka "mbinguni" though ila nadhani chenjichenji bado zipo
 
hahhaahaha...hapo ni parefu Kiongozi. Again kuna wenye uwezo. Maisha lazima yaendelee.
 
Viwanja vipo viwili sehemu moja vina nyumba za kawaida sana Karibu na kanisa la Rutheran hapo tangibovu.
1. 600sqm kwa 120milion
2. 1200 sqm kwa 220milion

Call 0689315582

Hicho cha 1200sqm ukishuka mpk 100milion ipo cash
 
Hizo ni bei za kutupa
Hicho cha 1200sqm ukishuka mpk 100milion ipo cash
Hata kwa 150milion huuziwi mkuu.. lete hiyo 100 uchukue 620sqm, ni kikubwa sana na bei hiyo ni poa.. Fanya utafiti mwenyewe uone
 
Hizo ni bei za kutupa

Hata kwa 150milion huuziwi mkuu.. lete hiyo 100 uchukue 620sqm, ni kikubwa sana na bei hiyo ni poa.. Fanya utafiti mwenyewe uone
Sasa hapo unanichanganya umesema sqm 6oo na jumla 12oo sasa hiyo 620 unetoa wapi na kila kimoja kina 600×2=1200 hebu rekebisha hapo tujuecukweli ni upi kabla sijatoa oda yangu
 
Sasa hapo unanichanganya umesema sqm 6oo na jumla 12oo sasa hiyo 620 unetoa wapi na kila kimoja kina 600×2=1200 hebu rekebisha hapo tujuecukweli ni upi kabla sijatoa oda yangu
Kuna cha 620sqm na cha 1200sqm nadhani umenielewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom