Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

We unazungumzia USA hakuna Malaria

Zanzibar hapo hakuna Malaria kabisa

Huku Bara wazungu wanafanya miradi yao wakishirikiana na baathi ya wazawa wanapiga hela

Kifupi ni Dili
 
WENZETU MBUU WALIWATEKETEZA KITAMBO SANA.....WE JIULIZE WAKATI WA MKOLONI MPAKA NYERERE ANAINGIA MADARAKANI TANZANIA KUKIKUWA N'A UTARATIBU WA KUFANYA FAMIGATION KWA KUTUMIA NDEGE MAALUM...WANAPIGA KATIKA MAENEO MAKUBWA YA MIJI....MAANA KUNA MAENEO AMBAYO KUNA MAZALIA YA MBUU DAWA INAFIKAAA IKIPIGWA KWA STYLE HIYO..
KUNA NCHI MASKINI TU OAMA ZAMBIA,ZIMBWABWE WATAFANYA KITU HICHO MPAKA LEO

OVA
 
Walitumia DDT kwenye miaka ya 50 kuwatokomeza lakini huku africa wanasema tusiitumie kwamba ina madhara kwenye mazingira.
Hiyo DDT iliwaletea madhara gani wao? Na ni tofauti na hizi ngao zinazowekwa kwenye neti?
 
Du!hakuna uhusiano wa maendeleo ya nchi na kuwepo kwa mdudu Mbu, simple explaination ya kwann Usa hakuna Malaria ni kwamba hakuna Vector wake ambaye ni Mbu kwakuwa mazingira ya Amerika hayaruhusu mbu ki survive nchi zilizo ktk ukanda wa kitropiki na zenye maendeleo makubwa km Brazil zina Malaria kama kawa na Zica juu.
 
Google ujifunze "Tropical Diseases" ni zipi na maeneo yapi yamo kwenye hizo kanda za kitropiki. Yaliyo nje ya hapo hayana malaria so ni suala la kimazingira zaidi.
 
Malaria is tropical disease,some of tropical countries have managed to eliminate it.
 
Ni mazingira. Sio marekani tu, hata hapa Tanzania kuna maeneo hakuna mbu kabisa.

Kuna mazingira ambayo Anopheles anapenda kuishi. Warm, tropical climate lakini sehemu zenye baridi sana hawezi kuzaliana.

Hata ukisafiri na mbu kwenye ndege akifika hata reproduce na ataishi mpaka life span ikiisha au kukosa uwezo wa ku feed na kufa.

Ni sawa na huwezi kuchukua bears ukawapeleka kuishi dodoma.
 
Walitumia DDT kwenye miaka ya 50 kuwatokomeza lakini huku africa wanasema tusiitumie kwamba ina madhara kwenye mazingira.
Mi hapa ndio huwa nashindwa kuelewa,nakumbuka miaka ya nyuma sana kulikuwa kuna mradi wa kutokomeza malaria, walikuwa wanapulizia dawa kwenye nyumba,ulikuwa unakaa mpaka mieze 6 hujaona wala kusikia Mbu,sijui kwanini wameachana na hii mikakati ya kutokomeza malaria nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom