Recent content by mali kauli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitaalam kuhusu kilimo cha ufuta

    Ndugu wana jamvi kwa dhati kabisa nimeamua kujiajiri, maana nina mwaka wa pili sasa tangia niajiriwe lakini naona hakuna dalili ya kupata mafanikio ya kimaisha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ndugu zangu kwanza habari zenu, mimi kijana kati ya wale waliopigwa na maisha, ila pamoja na ugumu uwo maisha bado sijakata tamaa, nina dhamira ya kujikwamua kimaisha, dhamira yangu kuu ni kujishughulisha na shughuli za kilimo, shida yangu kama mwenye utaalamu wa kilimo cha ufuta na hata soko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania na Wanaigeria wakamatwa na dawa za kulevya Mlimani City Shopping Mall

    Uchunguzi wa nini tena na wakati watuhumiwa wamekubali makosa yao, piga jera awo, sioni hata kama kuna ulazima wa kwenda mahakamani si washakubali na si inaeleweka miaka ya kufungwa kwa kosa ilo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete umewakosea heshima Mzee Mwinyi na Mama Maria Nyerere

    bila shida we ndo unajielewa huyo mwenzangu na mimi bora liende, akisema jambo lolote kiongozi wake wa chama yeye ndio tu, hata kama pumba ajipi mda wa kutafakari.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Kinana Wafyata Mkia Kwa Lowassa

    mi mpini
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnawaua watumishi wenu kwa njaa

    siku kumi unaona ndogo mwanandugu! kweli mwenye shibe amjui mwenye njaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

    Poleni wafiwa wote na mungu awape nafuu ya haraka majeruhi wote.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakiri kupokea barua ya Zitto

    Wacha kuogopa mabadiliko mkuu, ndo yanavyokuwa tena afadhali umezaliwa kwenye nchi ya wastaarab. Uko kwengine ni balaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo mdogo wa kufikiri wa madiwani wa Ilala na Meya Jerry Silaa

    Jamani hasipofanya hvyo ataonekana vipi na wenye nchi? Ila kwakweli hii nchi wakati mwingine unakosa hata useme nini, mbona viongozi wetu wanafuja sana mali za umma, na sisi tunaongozwa pia tunachangia atuoji na hata ukithubutu mwenzangu na mimi kuoji kuna watu watakugeuka na wenda ukaitwa...
Back
Top Bottom