Uwezo mdogo wa kufikiri wa madiwani wa Ilala na Meya Jerry Silaa

Madiwani wa Moshi walijaribu kufisadi fedha kwa study tour HATAHIVYO RC akawashtukia. Maajabu hapa DSM RC kalala usingizi wa pono kuhusu matumizi mabaya ya fedha za halmashuari
Angalau kuna wakati unatumia kichwa kufikiri.

mkuu bobby unamzungumzia yule meya mwenye uchungu na fedha za walipa kodi walalahoi na anayetembelea mercedes benz?
Samahani kidogo kwa wanaojuwa sheria na adhabu, hivi kumtandika mtu kibao kimoja au ngumi kabisa adhabu yake ni ipi Mahakamani? maana kuna watu wa hovyo kama huyu mtoto Jerry Silaa ni kuchapa makofi kabisa na wala hakuna haja ya kuwahoji.


haya mkuu nimekusoma..seems kweli kuna shida kubwa sana hapo ilala....ila ujue ilala ndio maofisi yoote makubwa ya serikali yapo including ikulu na mawizara so i think anapata kiburi cha wakubwa
Zao la Mafisadi Papa, hata Umeya alivyoupata bado inastaajabisha waliompa Umeya condition zao ni zipi.

mkuu hela zinaweza zikawa za ccm, sawa lakini sasa mabango yatusaidia nini? simungesaidia hata mayatima au asasi za kiraia? naunga hoja ndugu mleta mada.
Manispaa ya Ilala ndio Manispaa Tajili Tanzania, ndio maana huwa hawapendi wapatikane madiwani wa upinzani na hasa kwenye zile kamati muhimu, ninao ushahidi Mwenyekiti wa CCM wakati huo wa Wilaya ya Ilala Mikidadi Mahamoud lile gari alilokuwa anatumia Land Cruiser Prado alinunuliwa na Manispaa ya Ilala kwa sababu Madiwani wote walikuwa wa CCM tupu isipokuwa Maurida Komu.

Jerry pamoja na kuwa gamba lakini hawezi kujiingiza kwenye mtego wa kijinga namna hii!

Utakuwa ni ufisadi wa Mkurugenzi tu Jerry yuko smart mkuu. Narudia tena, Jery hawezi kujitega mwenyewe. Hana akili za kijing.a kama lile toto la waziri mkuu aliyebadili dini ili awe rais
Wewe hovyo kweli kweli wala hulijui ulisemalo, wewe Jerry Silaa unamjulia wapi? Muulize yale magari aliyowaonga madiwani wa viti maalum ili wampigie kura yeye na wamsaliti Abuu Juma zile pesa alitoa nani? Jerry Silaa amewekwa pale na watu wenye sauti kwenye nchi hii.
 
Jamani hasipofanya hvyo ataonekana vipi na wenye nchi? Ila kwakweli hii nchi wakati mwingine unakosa hata useme nini, mbona viongozi wetu wanafuja sana mali za umma, na sisi tunaongozwa pia tunachangia atuoji na hata ukithubutu mwenzangu na mimi kuoji kuna watu watakugeuka na wenda ukaitwa majina ya ajabu ajabu, mf kielehele, kimbelembele nk.
 
BlF3dFiIgAEVArm.jpg
 
Back
Top Bottom