Msaada wa kitaalam kuhusu kilimo cha ufuta

Msaada wa kitaalam kuhusu kilimo cha ufuta

mali kauli

Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Ndugu wana jamvi kwa dhati kabisa nimeamua kujiajiri, maana nina mwaka wa pili sasa tangia niajiriwe lakini naona hakuna dalili ya kupata mafanikio ya kimaisha.
 
Mkuu ina maana kwenye sticky topics hapo juu hujaona topic inyohusu ufuta?
 
Back
Top Bottom