Watu weusi bana,tabu tupu,sio kila hadithi utakayothimuliwa ni ya ukweli,mambo ya Dini ni hadithi ambazo watu wamekuwa wakiamini vizazi na vizazi,na kuamini hadithi moja kusikufanye uwe mji.nga wa kukejeli hadithi aliyoiamini mwingine,sababu mwisho wa siku true enlightenment au fulfilness ya...