Recent content by Malcom_X

  1. Malcom_X

    Ajali ya moto Morogoro: Itakuwa ajabu Kama RPC na Kamanda wa Fire hawatawajibika.

    Police Okay sawa mabomu ya machozi yangeweza kuleta shida. Hata yalr mahi ya kuwasha kutawanya raia eneo husika yalikosekana pia. Mbona Ukawa wakiskika wapi sehemu hata kama hakuna hatari yoyote mnafika mapema kuwatawanya ilishindikana vp kuwatawanya wale raia eneo husika gari ya maji ya kuwasha...
  2. Malcom_X

    African Satellite World and Sat Gear

    Nicheki boss naviuza hapa Kahama.
  3. Malcom_X

    USHAURI UBORA WA PASSO 1.3 TWIN CAM

    Habari yenu wadau, na kwa wale wataalamu wa mambo. Napenda kufahamu hii gari ubora na udhaifu wa wake. Na ikiwezekana ina Piston 3 au 4?
  4. Malcom_X

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Picha Kwa Hisani ya Instagram page @kahamayetu
  5. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Point noted boss, shukrani ngoja niicheki hyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Well noted Kiongozi wacha niitafute Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Point Noted chief shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Shukrani Kiongozi kwa mchango wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Hakuna namna mzee ufisadi hauepukiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Malcom_X

    Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    Habari Wadau, Nimepata tenda ya kusimamia mashamba ya parachichi ya Waholanzi sasa wamenipa pesa kiasi ya kununua usafiri Off- Road. Kuna bajeti ya 20M kwa ajili ya gari hapa nafikilia 8M natia mfukoni alafu 12M nitafute hiki kigari SUZUKI JIMNY je kitahimiri mikiki ya huko shambani kwa WAZOEFU...
  11. Malcom_X

    NAFASI YA KAZI YA SALES EXECUTIVE KAHAMA

    Hii ni kwa wakazi wa Kahama, Wanahitajika Maafisa mauzo 20, wahi nafasi ni chache. Elimu Form Four. Tuma maombi yako, email: dnlysang@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Malcom_X

    Ukweli kuhusu biashara ya Forex

    Habari ya wakati huu wanajamvi! Leo nimeona vema niwaletee mezani mada hii. Katika harakati za kupambana na Maisha kama kijana pia mwenye kiu ya kufanikiwa nilikutana na jamaa mmoja mwenye USHAWISHI wa hali ya juu hapa JF baada ya kusoma Nyuzi zake kali zilizoteka hisia za vijana wengi...
  13. Malcom_X

    Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

    Chief, vizuri kwa ufafanuzi mzuri kwa ambaye sio mzoefu wa pikipiki ni viashiria gani ambavyo vitamjulisha mkaguaji kua mkono unagonga kwa maana ya crank shaft. Much thanks!
Back
Top Bottom