Recent content by Malaria Sugu

  1. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    hata mwalimu ukisoma historia ya Uhuru wa tz hana nafasi. usianzishe maada nyengine ukakimbia ukumbi
  2. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Yahya Mohamed awa boss mpya Azam tv! Hongera sanaaa

    ndio mfano halisi
  3. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    muwe wakweli chadema.
  4. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Yahya Mohamed awa boss mpya Azam tv! Hongera sanaaa

    naamini Azam tv, watangazaji wakike wataruhusiwa kuvaa hijab.
  5. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya MO Ibrahim 2013

    ikifikia dk slaa atakuwa rais. tz itaingia katika historia mpya ya viongozi wao kwenda mahakama ya kimataifa
  6. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    kweli hawakuwa same. maana karume kaanzisha tv ya Mwanzo. mwalimu yeye akipiga marufuku sabuni
  7. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    kwani zitto , arfi nao si wapo? au ndio senema tu?
  8. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya MO Ibrahim 2013

    naamini kama rais angalikuwa dk slaa. icc zamani ingalikuwa ishapiga hodi tz
  9. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    labda dini yake haiwavutii chadema
  10. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania UDOM haina soko Tanzania?

    mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira. Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
  11. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    kwa hivyo naibu katibu mkuu wa Chadema upande wa znz ni GARASA tu?
  12. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    mbona huko wanadhuru?
  13. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Yahya Mohamed awa boss mpya Azam tv! Hongera sanaaa

    namkubali Yahaya.
  14. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Tuachieni Nyerere Wetu

    Sote tunajua kwamba unapozungumzia historia ya TZ . huachi kuyataja majina ya watu wawili. Mwalimu nyerere na hayati Karume.Kila wakati nasikia Chadema wao wanakimbilia kwa mwalimu na sijabahatika kuwaona Viongozi wakuu wa Chadema kama DK SLAA na Mbowe wakihudhuria katika kaburi la Makamo wa...
  15. Malaria Sugu

    JamiiForums Tanzania Sikukuu sio jumanne (15/10/2013) kama kalenda zinavyoonyesha ni 16/10. BAKWATA wakemee kalenda hizi

    kalenda zinazotumia miezi ya Jan - december yaani Kalenda Baada ya kuzaliwa Yesu kristo (AD)Anno Domini and (BC) before ChristBefore Common Era Years are designated as before the Christ's birth. kwa upande wa kiislam "Mwezi" humaanisha kipindi kamili kati ya kuonekana kwa mwezi angani mara ya...
Back
Top Bottom