Recent content by Malapa1612

  1. Malapa1612

    Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    Mungu ampumzishe salama,poleni wafiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Malapa1612

    Kwanini wanawake wengi huchukia mwanaume akimvua nguo halafu asifanye nae mapenzi?

    Wao watanuna,wewe utashushwa manyota mpaka kuluti Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Malapa1612

    Chama cha mawakili Marekani chatoa kauli kuhusu uhuru wa wanasheria Tanzania bara

    Kwanza wajenge kasi, alafu ndio waje kwetu,waache koherehere Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Malapa1612

    Natafuta movie mpya yenye kwichikwichi nyingi na 'mahaba niteketeze'

    [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Malapa1612

    Hivi hili nalo ni Tatizo?

    Acha porojo kijana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Malapa1612

    Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    Mistari Kama aijakaa sawa na mshiko unao,lazima Uingie studio, mapenzi pesa ndugu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Malapa1612

    China yasema itaingilia kati kama lengo la Marekani ni kuubadilisha utawala ulioko Korea Kaskazini

    Tusiombe yatokee kwani a'mashariki tutakufa kwa Muda mchache,kim ana masihara mtoto huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Malapa1612

    Mpenzi wangu huvulia kufuli kwenye shuka, tatizo ni nini?

    Pole sana mkuu, mambo ya chumbani,yaache chumbani tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Malapa1612

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Safi Sana kwa kichura wangeongezewa na viboko,hapo akili ingekaa sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Malapa1612

    Msambwanda ni furaha ya macho tu

    Kila shetani na mbuyu wake,kila mtu anapenda kile nafsi ilichopenda Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Malapa1612

    Kilichonifurahisha kutoka kwa Billgates ni kuwa hatembei na mabaunsa au walinzi licha ya utajiri wake

    Muda mwingi anashughulikia mambo yake na Jamii kiujimla, ni mtu simpo asiye na makuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Malapa1612

    Tetesi: CCM kuwapiga marufuku maDC na wakurugenzi kugombea ubunge

    Matamshi tumeyachoka, watubadilishie tu katiba,kwani katiba ndio mwisho wa matamko, nyingine ni ngonjela tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Malapa1612

    Kuhusu kauli ya Sumaye; "sirudi CCM", nani alimfukuza nani anamkaribisha..?

    Aache kulalama, alipokuwa anajimegea Maeneo,akulalamika katika media, Leo hii analalama, akujua msumeno hukata Huku na kule?aje ajifiche tu ccm Kama kada Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Malapa1612

    Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    Komaa na ukawa mzee,wengi wengi waliumia katika kipindi chako,Vumilia maumivu uyapatayo sasa,kumbuka kuwa mtenda akitendewa,...... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Malapa1612

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Sheria lazima zifuatwe, lakini kuhukumu mtu,mwenye madaraka hayo ni mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom