Hivi hili nalo ni Tatizo?

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,160
692
Habari wakuu!

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,ningependa kujua hii hali inayonitokea ni ugonjwa au hali ya kawaida,wakuu yani Tangu ni meanza mahusiano kila ninapokutana na wanawake kimwili huwa wanalalamika nawaumiza tumbo na kila ninapofunga goli dushe yangu huwa hailali yani huwa na unganisha magoli pengine matatu mfululizo bila kupumzika,na kwa kawaida huwa nafunga matano hadi sita marefu,tatizo nililonalo sasa hivi Nina girlfriend Wangu mmoja alikuja kwangu nikalala nae usiku kucha akaondoka sasa kila nikimwambia aje tena kwangu anipe utamu hataki, nikimuuliza kwa nini anasema basi tu,ila minahisi pengine mechi ya siku ile ilikuwa nzito lakini Mimi bado nampenda sana,nimemuomba ushauri rafiki yangu kaniambia eti Nina tatizo la nguvu nyingi za kiume,wakuu ningependa kujua kwani kuwa na nguvu nyingi sana za kiume je nalo ni tatizo la kiafya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every thing too much is harmful!
 
utakuwa ujuhi kutomba wewe, unafkiria kushinda kwenye **** muda mrefu ndio kujua kutomba
acha kujifagilia kishamba eti unaunganisha magoli
mapenzi sio magoli tu, kuna mambo mengi mengine
 
Kuunganisha Goli mbili juu kwa juu, hiyo ni kawaida.

Hapo kwenye kuunganisha Goli tatu, usitufanye sie Misukule
 
tatizo hizo swagga zako kwa wanawake sidhani labda facebook maana wanawake wa jf wanataka hela pesa fedha.
 
Back
Top Bottom