Mchangiaji umenilazimisha nitoe maneno mabaya hata kama hujayasikia. Wabunge wa CCM kwa uwingi wao ndiyo waliotufikisha hapa tulipo. Lkn hamuoni kitu. Poor Tanzania
Analyzing mineral samples does not need more than a week to get results therefore three months is more than enough. Tujadili reliability ya results na siyo muda uliotumika. Chenge hatakiwi kusikilizwa hata kidogo kwa nchi zingine ilibidi awe anaongelea mahabusu.
Kiukweli Lipumba ni msaliti mkubwa na lengo lake ni kuhujumu CUF hana lolote. Kuwaacha wenzako kipindi kigumu cha kampeni na uchaguzi kwa ujumla ni kitendo kibaya sana najua hata yeye anaona aibu moyoni mwake. Anatumiwa na ni kibaraka. Alaaniwe sana. Clouds wamefanya kazi nzuri sana.
Uliyoyaandika hujayafanyia utafiti ukitaka kuujua ukweli jiulize kwanini wanashindwa na kuogopa kumpatia dhamana ambayo ni haki yake na ipo wazi kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.