Recent content by malampaka lali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshawalipa wafanyakazi wa Wasafi mshahara wa mwezi December. Kwenu mnalipwa mshahara tarehe ngapi?

    Bongo lala Kuna ulazima wa kuongelea hayo mbele ya umma kweli kwani si nimkataba baina yake na mtumishi wake pia ni matakwa yake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

    Nawewe ni wale wale tu huna hoja kwani kuwa na follows wengi ndio kupata hela hujui kama watanzania wengi ni malimbukeni wa mitandao wanamfollow mtu tu bila sababu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

    Sasa unambishia Nini sasa nawewe mkuu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Kwahiyo mtu kujisahau remote kwenye mkoba ni ushamba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Usije ukaoa mwanamke kwa leongo lolote la maendeleo utapotea oa kwa lengo la kuongeaa familia (kuzaa) hayo unayoyafikilia kichwani kwa wenzetu huwa hayapo ni wachache sana wenye mitazamo hiyo. Chukua hii baadae utanikumbuka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pesa ina kaujeuri fulani hivi

    Hama hiyo nyumba kama mtu anakuwa na jeuri kwa vitu kama Tv (liability) sahau kuhusu issue ya maendeleo kwa maana watu wanaokuzunguka hawana future hiyo kimbia mashindano ya olympc
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usikubali kulipwa mshahara maisha yako yote, kataa

    Wewe mwenyewe ung ekuwa na kazi au biashara nzuri hata huu muda wa kupoteza kuandika ulichokiandika hapa usingeupata ila kwasababu huna kazi wala biashara ya kukuweka bize ndio maana unaandika haya
  8. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

    Kwahiyo kama ni tiss ndio unatakiwa umuogope ila. Watanzania alie turoga alishakufa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

    Wewe maisha yako yakoje mkuu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nusuru ndoa yangu

    Acha kutetea ujinga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

    Mbona mnaponda sana mishahara ya watu utafkri ninyi mnamaisha mazuri sana. Jamii forum kila mtu ana hela
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

    Nasikilq mwenye kipaji anaweza kusoma
Back
Top Bottom