Saka eneo lenye mishe za watu;
choma maindi
nunua yebo yebo kkoo kuanzia pair 50@ buku we unawabana 2000/=
uza matunda mfano matikiti,ndizi,machungwa n.k
katika biashara utakayo ipoint uckose pembeni kuwa na meza ya vikaranga, fegi, vipipi pipi, bazoka n.k
Nadhani ukiwa siriazi hukosi mwekundu...