Recent content by malaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

    Hivi huyu RM si alipigwa chini na PM tayari akatetewa na Mfugale au?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Familia imetokea mwishoni kabisa mbali na Mahudhurio na Kumwekea Wakili. Shida inaanzia hapo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Video: Shujaa Mbowe alionya lakini akapuuzwa

    Umeandika story ndefu ila ingekuwa fupi na yenye maana kama ungekumbuka kuwa Siasa zimepigwa stop hadi Uchaguzi 2020. Una hoja ila next time umiza akili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Kukuelewa inahitaji uwe na IQ ndefu. Ahsante umesikika kwa ushauri mzuri.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtu afariki katika Mtaa wa Stakishari kutokana na mvua zinazonyesha jijini humo

    Kama sio lile tuta haya maji yasingefika kwenye zile nyumba. R.I.P Mzee Mwenga.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Katika watu ninaowaheshimu humu wewe ni mmoja wapo. Kama hii kitu imetoka moyoni mwako inabidi wengine kujitadhmini pia kwa kina. Umefika wakati wa kuweka siasa za mihemko pembeni na kuangalia maslahi ya Taifa kwa ujumla. Haya yanayotekea lieo ni mwanzo wa kuelekea sehemu mbovu. Ahsante..
  7. M

    JamiiForums Tanzania NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Faiza... Najua akili yako ilipo sasa unadhani tunabishania Siasa. Acha kufanya kila kitu kwako siasa. Unachukulia mambo mengi juu juu tu ndio maana waafrica hatutaendelea sababu ya kutokujielewa kwetu. Wewe Dadangu hujielewi. Kwaheri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Faiza. Tumia akili kidogo. Wengi wanaochangia sasa hawafikii huo uzee na la huachishwa kazi mapema kabla ya uzee. Hapa kinacholalamikiwa na wananchi wengi ni kuwe na utaratibu wa kufidia kipindi mtu hana kazi au vinginevyo sio kama mtu umeacha au achishwa kazi na umri wa miaka 38 basi ndio...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Dada sizungumzii siasa hapa. Mimi mwenywe ni CCM. Ila mipango na sera za sasa sio rafiki kuita hilo ni fao la uzeeni. Mbona wengi wataalamu kuliko wewe wameelezea humu jinsi ilivyo? Kinacholalamikiwa ni taratibu nzuri za kuwezesha fao liwe na maana yake sio fao kwa hali halisi iliyopo sasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Dah Hata kama ni kuwa mpinzani hii ni too much!! Hujisikii vibaya Dada?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

    Aisee mwenye nyimbo Lukeza Ft Juma Nature inaitwa Mtanganyika naomba aniPM aisee nipo teyar kumtoa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muuguzi anayedaiwa kumwambia mama wa mgonjwa ‘ataisoma namba kumchagua Magufuli’ atambuliwa

    Labda alikwenda akiwa kavaa kale kakilemba ka rangi ya mchicha halafu akawa anambembeleza Nesi huku hana pesa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunaukaribisha uchunguzi kwa Zitto Kabwe

    Mbona Kama teyari mshaziita poroji? Mtalubali matokeo ya huo uchunguzi yakiwa (-)?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda - Nchi Imerudi Nyuma

    Kuna haja ya serikali sikivu ya CCM kukubali kuunda timu ya wataalamu wa sekta zote kutoka taasisi mbalimbali kama ilivyokuwa katika katiba mpya, ili kutengeneza mpango kazi wa nchi kwa miaka 20 labda mbele. Ili kila atakaeshika dola akubali kuendeleza plan hiyo. Vinginevyo tutaendelea...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

    Isije kuwa Bi Mkubwa team Lowasa kimya kimya!. Hahaha
Back
Top Bottom