Habari zenu wapendwa,
Je unataka kulipa kodi ya biashara na hujui pakuanzia?
Karibu sana kwa ajili ya ushauri na kuelekezwa namna ya kulipa kodi, Kujua kodi yako unayodaiwa TRA na jinsi ya kuilipa.
Kufanyiwa mahesabu yako ya mwaka,Ukaguzi wa mahesabu, Efiling,Provisional tax,Paye and sdl...