Recent content by Malaika Aurora

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Unajuta kwa sababu we ni BOY ungesubiri uwe MAN ndo uoe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wife kanuna kisa nimeongezwa nyanya gengeni

    teh teh teh
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr. Shika kutapeliwa mtandaoni hakukubali kuwa mnyonge akaamua naye kututapeli watanzania kupitia media

    wewe ndo mwenye shida.kulazimisha kila mtu aamini unachoamini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Kula vitu organic! Acha kula artificial things! Soda, vyakula vya makopo etc achana navyo, ni dalili mwili wako una sumu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Daktari aeleza hatari ya vyuma vilivyoko kwenye moyo wa Manji

    Akishinda hii kesi itakuwa ni kushindwa kwa DAB
  6. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro amstaafishe Mambosasa kwa Heshima ya Jeshi la Polisi au RC Dar ajiuzulu

    una kura yangu 2020. Vipi chama kimeshasajiliwa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Balozi atamani kumpeleka Rais Magufuli Marekani kwa wiki tano

    Zaidi ya miaka miwili?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika waadhibuni Star Swahili

    Ndio maana wanasemaga filamu hii ni ya miaka 18+, 16, 13 au ya kuangalia na familia n.k... Sa iweje filamu ya miaka 18 uachie watoto wa miaka 10? Pambana na hali yako.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walionikosea nikawashughulikia,sasa wanaanguka kifafa

    Kwanini hawezi iba?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Beki 3 nimfanyeje?

    We unataka umfanyeje? Inaonekana unamchekea ndo maana anafanya yote hayo! Ivi we ni baba mwenye heshima zako kweli??? Mfyuuuuu ndo maana hata unadharauliwa na baki tatu! Na unachotafuta utakipata soon!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar kufungwa camera za usalama kudhibiti uhalifu!

    Zitakuwa zinafatiliwa 24hrs au?? Maana kunaweza ibiwa na wasijue pa kumpata mwizi mwenyewe kama sio masaa 24 zinafatiliwa..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

    Duh..... Kwani amekuwa kuku?? Mnyonyoe!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Ya Mama anayenyonyesha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Social media is for bunch of losers

    wamekusikia!
Back
Top Bottom