Recent content by makya

  1. M

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Usafishe, labda umeuchafua mwenyewe hivyo unajua sabuni yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Ugonjwa utakapo julikana kwa maana ya wahusika kujulikana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Zitto Kabwe ambwaga Tundu Lissu

    Hutofautiani na kuburu Bother .Wewe nimchochezi unayetamani mauaji ya kimaro unapaswa kushughulikiwa kama mwezi tunathamini AMANI ya nchi aliyotuachia Baba wa Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Unyenyekevuuuuuuuuuu looooo!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Kuna mchagga mmoja kaharibu hii picha,yupi huyo_

    Hivyo ndivyo ukabila unajijenga na hiyo ni chuki. Tujitafakari hata kama ndio utaratibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    RC Mghwira: Upinzani hakuna siasa bali kurudishana nyuma kimaendeleo

    Mmmm atafakari kwanza maisha yake alikotoka alipo na anakoelekea asiache mmbachao kwa msala upitao. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ukipata nafasi ya kumshauri ushauri mmoja tu Mh. Rais Utamshauri nini?

    Simshauri lolote. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

    Ndio sababu tuna sema shauri lina njia nyingi kumalizwa inategemea unalionaje,mnaweza kumaliza kwa kuelewana wenyewe au mahakamani Raisi aliona busara kukaa pamoia na upande wapili ukakubali sasa linahusuje CHADEMA.Kuvuruga mvuruge wenyewe kwa ulafi wenu.Angalia list kuna CHADEMA"ACHA...
  9. M

    Bungeni: Waziri Mpango asema Serikali imetenga bajeti 2017/18 kufufua kiwanda cha General Tyre

    Upinzani na kutokuona kukua kwa uchumi wapi na wapi? acha ushabiki usio na macho.
  10. M

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hiyo ni kazi ya JK yeye anatekeleza tuu ya kwake ni hewa ya ubungo na hewa ya Trein ya mwendo kasi.
  11. M

    H. Polepole: Anna Mghwira amekubali sharti la kuwa RC na kusimamia ilani ya CCM

    Mnaogopa ushindani ndio maana tunawaita VISHITE.
  12. M

    Maamuzi ya Bunge kuwafungia wabunge kuhudhuria vikao ni ukiukwaji wa KATIBA

    ila kuna wananchi walio watuma wabunge wao kutukana wapinzani kwa sababu watalindwa na speaker wa chechemea.TUTAFAKARI SPEAKER ASITOKANE NA CHAMA CHOCHOTE NA AWE MWENDESHA MIJADALA TUU NA SIO MMILIKI WA BUNGE KWA KIVULI CHA KAMATI FEKI YA HAKI ZA BUNGE.
  13. M

    Ndugai: Ningeamua ningeamuru Bulaya na Halima wakamatwe huko Moshi waletwe hapa kwa usafiri wowote

    Alisema ataendesha kwa haki na standard !!!!!!! aiiibuu.
Back
Top Bottom