Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Bunge hili hili ndilo bunge lililopitisha maamuzi ya kugawa bure rasilimali zetu na mali asili yetu kwa kupiga kura ya ndio,ni bunge hili hili lililotumia bilion 150 za katiba mpya,na baada ya kutekeza bilion 150 za wananchi wakasema katiba sio kipaumbele chao,ni bunge hili hili ambalo linafuraiya kutokusafirishwa kwa mchanga nje ya nchi,lkn dhahabu inapakiwa kwenye ndege na inaondoka huko huko mgoni kwa kura za ndio,ni bunge hili hili mwaka jana lilipitisha bajeti bila wapinzani,likaporomosha uchumi kwenye sekta ya hotel,utali,mapato ya bandari na kadhalika,ni bunge hili hili walitunga sheria ya kituo ya v.a.t, kwenye mhamala wa kuhamisha pesa kwenye bank,au kwenye simu,ni bunge hili hili chini ya ndugai waliona sio sawa naibu spika kuwafukuza wabungeni wa ipinzani bungeni,kwa kusema wabunge wa upinzani wanahitajika sana bungeni,lkn wakati ndugai anafanya maamuzi hayo alikuwa ni mgojwa,pengine ugonjwa ulimpa busara,na sasa baada ya kupona busara imetoweka
Bunge linye maajabu ya aina yake
 
S

Siasa za Visasi na kukomoana.
 
Sijapata kuona Spika mwenye Jazba na Visasi kama Ndugai!! Yaani anaongoza Bunge kama Kamanda wa Jeshi la Vita vya ardhini!!!
 
Sitegemei mbunge mvaa shanga akawa na mchango wa kulisukuma mbele Taifa...[HASHTAG]#HeshimuMamlaka[/HASHTAG]
 
Wandugu kwa anaejua magufuli ametimiza ahadi ipi kwa wananchi wa Tanzania kati ya zile 66,977 alizoahidi wakati wa uchaguzi mwaka 2015
Ametimiza ahadi ya dharura ya kuteka, kukamata na kutia watu nguvuni, kufungia bunge live, kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ilihali yeye anafanya, kula rambirambi,.......(mengine ongeza)
 
Wandugu kwa anaejua magufuli ametimiza ahadi ipi kwa wananchi wa Tanzania kati ya zile 66,977 alizoahidi wakati wa uchaguzi mwaka 2015
Unaelewa sana kazi aliyofanya Magufuli na ni kazi zenye tija kwa wananchi,ni ukuda wako tu na kwa sababu unataka wachangiaji weng hapa jf wasioelewa siku zote nchi ilikua wapi na sasa iko wapi,shughulisha akili yako
 
Kafanya nini acha matusi
 
Sukari imefika 3200 na unga wa mahindi 2200, where are we going????? Masikini wanaendelea kuwa masikini zaidi, na washangiliaji nao wanajitahidi kumshangilia kwa kila jambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom