Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
14,713
2,000
Sasa ni dhahiri msimamo wa CHADEMA juu ya sakata la mchanga wa dhahabu umeparaganyika.

Kwanza Lissu alikuja na kali ya kuwatetea kuwa mikataba ya wizi iiyifungwa na Nchi, tutashitakiwa na kupigwa adhabu kali za kimataifa.

Sasa Lowassa amempongeza Magufui kwa kazi nzuri.

Tatu yule ambaye Lissu aisema atatushitaki mpaka tukome, kaja mwenyewe na kasema yeye ndo atatulipa kwa wizi uiofanyika.
CHADEMA sasa inaonekana kama gulio la wajinga.

Ushauri wangu: muufungie luku huo mdomo wa kijana wenu Lissu, kwani pamoja na kusoma sana sheria bado hajaelimika.
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
SIO RAHISI KWA CHAMA MAKINI KAMA CHADEMA KUYUMBISHWA NA KASHIFA AMBAZO HAZIWAHUSU.LISSU NI MWANACHAMA WA CHADEMA NA SIO CHADEMA...
 

The Chosen One

JF-Expert Member
May 24, 2017
3,584
2,000
Mkuu hiyo pesa ni ndefu sanaa ikilipwa hata robo ntapiga kula 2020 haya maigizo tu kama yale ya itv
 

exaud morrey

JF-Expert Member
May 22, 2017
332
250
Ona huyu mwanachama wa mange. Unatoa point za majungu. Mbona uko enzi za Sekondary. Tunamchagua HP kutokana na Wale wabishi. Wanaonekana wako tayari kubishana na mkuu. Stupid. Grow up.
Secondary yenu ndo ilkuwa na vjungu ila kwetu ilikua ni kitabu kwenda mbele na ukweli utabaki palepale dada
 

makya

Member
Mar 13, 2017
27
45
Ndio sababu tuna sema shauri lina njia nyingi kumalizwa inategemea unalionaje,mnaweza kumaliza kwa kuelewana wenyewe au mahakamani Raisi aliona busara kukaa pamoia na upande wapili ukakubali sasa linahusuje CHADEMA.Kuvuruga mvuruge wenyewe kwa ulafi wenu.Angalia list kuna CHADEMA"ACHA UBASHITE"funguka.
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Wakilipa theluthi mbili ya ile trilioni 280 basi 2020 kula yangu ya raisi kwa Magufuli ila za wabunge na madiwani zitaenda ukawa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom