Recent content by makwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa Kafulila: Rais anatumbua Vipele,Majipu Bado Hajagusa Kabisa

    Anaitwa jeska kishoa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbele giza ajira za ualimu

    walimu wametosha kwamba na nyie mmekoma kuzaliana na kupanua vijiji?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Fuatilia vizuri wakati wa Ndalichako mtihani haukuvuja labda kama wewe ni miongozi wa watumishi wa Necta mliokuwa mnavujisha kwa siri.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hongera sana Dk.Ndalichako na aksante sana Raid wangu Dk.Magufuli kwa kusikia ombi letu Mungu akujalie uzima na mwingi wa busata
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa milioni moja kumsaidia mtoto Mlemavu

    rais ametoa kulingana na hitaji la mtoto huyo kwa wakati huu, mengine yatafuata. Je, ni wangali walioona habari hiyo na kuchukua hatua japo kidogo kwa wakati huo. hata ukipewa kidogo shukuru.Kila jambo kwa wakati wake.Matatizo mengi ya walemavu naamini atayashughuliki.Mpeni muda.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Bila hao usalama wa taiga rais hawezi kupata hizo taarifa nyeti wako kazini 24 hrs.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotel kubwa jijini mwanza zitapona bomoa bomoa iliyoanza? ?

    bomoa bomoa ya mwnza ilishafanyika enzi ya RC enjolai miaka km 10 iliopita has a kati kati ya jiji hivyo nyumba nyingi zimezingatia mipango miji.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

    sababu ya kwenda peke yake badala ya familia nzima ama na mkewe nadhani ni kuondoa attention kwa baadhi ya waumini na kuwaondoa kwenye mood ya kusali na kubaki kuwashangaa, pili kanisa katoliki kutegemeana na makanisa wanayo misa zaidi ya tatu hivyo sio lazima kama rais anaenda misa ya kwanza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    kwani rais akikagua gwaride wanawake hawapaswi kuwepo kama mlinzi? acheni ubaguzi na unyanyasaji wa jinsi kila kitu mwanamke anaweza!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

    hongera mama
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

    sio kweli kuwa wanafichwa labda kama haukuwa na interest ya kufuatilia maisha yake kwenye media anao watoto saba wakike wako wanne na wakiume watatu, na mama yake mzazi yuko hai.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya wagombea ubunge wa CCM wenye nafasi kubwa ya kushinda

    wapinzani waliopewa ndiyo wepesi mno na wana njaa hivyo wanahongeka. Labda kyerwa kwa mtungirehi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rorya tumewakosa Maria Sarungi na John Mashaka. UKAWA tuleteeni jiwe tutalipa kura

    Hayo ni maneno tu, Marando Nyaucho alikuwa jembe aliwafanyia nini nyie wanarorya?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Jinsi Edward Lowassa alivyo, inaonekana kuna kitu alichokidhamiria katika nchi hii.Labda kulipa kisasi.Lakini yote namwona kama ni changudoa wa kisiasa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Usiwadhalilishe walimu kana kwamba jawajui kitu.Mbona malalamiko ya tatizo ya BVR yameanzia mikoani, watu wanaosishi Dar waliona kana kwamba ni Umbeya.Tatizo kuonekana kukithiri DAR ni kutokana na kuwepo kwa joto jinsi na Mashine hizo na joto ni vitu viwili tofauti.Yataka uvumilivu ndugu, na...
Back
Top Bottom