Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

Hivi alikuwa na Mumewe pale taifa?!!

Huyu Mme wa huyu mama pamoja na first lady wana kazi kweli mwaka huu! Ni ma-ceremonial husband and first lady tu! Mama alikuwa hakai na mmewe huyu, sasa amepata madaraka makubwa afanyeje? Hana budi kumrudia tu angalau aonekane kwenye hadhra! First lady naye hana jinsi ingawa ana mgogoro na Mr. P!
 
Makamu wa rais ni nafasi exclusive kwa ajili ya Waislam tu.

usilete udini hapa. Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu lazima atoke Zanzibar na kama tujuavyo zenji muslims ni wengi. Lakini pia kumbuka alipitia mchakato wa mchujo ndani ya ccm.
 
[h=3][/h]
12193724_159660101053292_1155602019935774272_n.jpg

Mh. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa makamu wa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na kusaini kiapo chake leo Tar. 05/11/2015 saa nne na dakika hamsini na nne.
12208346_1023840214334686_6454123285373319886_n.jpg

Kilichobaki n kazi tu
 
usilete udini hapa. Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu lazima atoke Zanzibar na kama tujuavyo zenji muslims ni wengi. Lakini pia kumbuka alipitia mchakato wa mchujo ndani ya ccm.

Kwani jaji Augustino Ramadhan ni muislam?
 
hata mimi hilo limenipa shida kidogo sijui kwa nini idadi ya watoto inafichwa

sio kweli kuwa wanafichwa labda kama haukuwa na interest ya kufuatilia maisha yake kwenye media anao watoto saba wakike wako wanne na wakiume watatu, na mama yake mzazi yuko hai.
 
Hivi kazi ya makamu wa rais ni ipi?maana tumezoea kuwaona wakifungua warsha na makongamano
 
Hebu imagine Makamu Wa raisi Tz ni nafasi ya zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi 600,000
 
Makamu wa rais ni nafasi exclusive kwa ajili ya Waislam tu.

Kwaajili ya muungano,ni lazima kutoa kiongozi mmoja katika ngazi ya juu kutoka znz,na majority ya wazanzibari ni waislam,unamtegemeaje mroma aje hapo
 
[h=3][/h]
12193724_159660101053292_1155602019935774272_n.jpg

Mh. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa makamu wa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na kusaini kiapo chake leo Tar. 05/11/2015 saa nne na dakika hamsini na nne.
12208346_1023840214334686_6454123285373319886_n.jpg

Twekee picha ya mmewe tumuone tumuone
 
hivi makamo wa rais ofisi yake ni ikulu ? hapo fursa ni wazi afande
 
Back
Top Bottom