Recent content by Makwasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ipo haja Zanzibar nao wafungue ofisi za ZRB huko Tanganyika

    Wafungue Tunduma itapendeza sana
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanampambania Diamond mno kumsafisha bet

    Diamond ni mkubwa kuliko CHADEMA, wanapambana naye lakini watashindwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Chadema wameacha siasa na kuwa kundi la muziki,😃😃😃😃😃
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Hongera CDM ni jambo nzuri kufanya mambo bila kutegemea makao makuu, sasa basi msipange watu wakijitolea kujenga shule au Zahanati
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

    Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

    Amerudia kazi yake ya Bodaboda
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

    Hamia Kenya ndugu ukajionee mwenyewe utu wa Kenyatta
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Wabunge wakiwachiwa huru kumbe wana hekima na busara, kina mijitu huwa haina akili ikianza ujinga hao wabunge akili zao zinapotea kabisa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

    Wameanza kwenda kinyume na kauli za rais, hawa watu ni washenzi sana wanadhani maisha in rahisi waanzaishe wao hizo biashara tuone kama watalipa hizo kodi. Kodi ya miaka mitano unalipa kwa mwaka.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

    Hoja za wasomi ndio zinazoplekea wenye elimu kudhalauliwa bungeni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Profesa Assad akisifia mradi wa Bwawa la Nyerere

    Unafiki unaendelea
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is there a Kenyan leader who is loved the way Magufuli was loved by his people?

    Gullible is believing Arap Mashamba and his merry men of Tangatanga. Unashangaa kuona ujinga mwingi ukiendelea kwenu. Ukabila mpaka matakoni.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

    Kwana rais ni mtu au ni Tasisi. Tatizo la CDM mnajua mwenyekiti ni Mbowe tu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

    n Stupid argument, Katiba imeandikwa na Jaji Warioba na Piusi Msekwa wako hai. Wanaweza kishauri vizuri zaidi kuliko huyo Puffy Kibaraka
Back
Top Bottom