Festus bulugu limbu,ni moja ya watu makini,nakumbuka saana kipindi cha uongozi wa Rais Benjamin Mkapa,akiwa naibu waziri wa fedha,sera na mipango.uchumi ulipanda saana kipindi cha Mkapa,Kazi kubwa aliifanya Festus Limbu.kwa kifupi mheshimiwa Limbu anastahili,ana kila sifa ya kuwa kiongozi,hata...