Recent content by makusu

  1. M

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mkuu tusaidie documents hazifunguki au kuna na na ya kuzifungua na hats ku download?
  2. M

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    yaani wewe Huna maana Kabisa unasherehekea Mtz mwenzio kupata Ajali? Kama hali ni hivyo huo UKAWA unaoushabikia hauna maana Kama wewe Ndio maana hatuwachagui sie na MAGUFULI TU
  3. M

    GE2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

    Kumbe ni keeling wale wanaosema Kuwa elimu yetu imeshuka Kama si ushabiki yaliyo stemware na Magufuli ni sawa wala hakuna tafrani ya international relation. Kama ni ushabiki Lowasa Hafai
  4. M

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    lowasa Hafai Leo Ndio umejua? Historia ilisha andikwa washabiki wataendelea kushabikia na kuendelea kujifunika blanketing la ushabiki Huku wakiiacha Historia ikiwapa ......., Tunasahau Baraka Hafai.........!
  5. M

    Mkapa agombee uraisi 2015 kama Urusi na israeli

    Kwai Warioba record yake ya uongozi alifanya mini Kama si sasa kwa sababu Fulani? Fanya research.
  6. M

    JK sio rais makini

    Kinachotokea ni ushabiki na homage minimum haziongelewi. Tusubiri application ya Natural justice
  7. M

    Njaa isitufanye kujivunjia heshima

    Dr Kitila yuko sahihi kwa mtazamo wake wa sasa wenye mawazo yasiyo ganda na wakati. Kinachogomba si kile alichokisema yeye bali ni Kuwa kasema kinyume na kile ambacho ulitaka na kutazamia aseme ulivyotaka wewe aseme. Na huo ndio uhuru wa mawazo. Cha msingi ni kuchambua uzito wa hoja yake kwa...
  8. M

    Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    Uhuru bila mipaka ni vurugu tuna tatami wataheshimu sifa ZA jack ZA utanzania : Uluru,utu,usawa na heshima kwa wote
  9. M

    Utaratibu wa kusajili ardhi sehemu ambapo tayari kuna nyumba

    Inaruhusiwa kwani usajili na umiliki ni wa ardhi tu na iwapo kuna nyumba basi kisheria huhesabika kama ardhi iliyoendelezwa
  10. M

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Je kwa mashahidi wana HAKI gani baada ya kuitwa na mahakama kutoa ushahidi Kenya makos a ya jinai. Je ni lazima wahudhurie?
Back
Top Bottom