Mkapa agombee uraisi 2015 kama Urusi na israeli

Mkapa agombee uraisi 2015 kama Urusi na israeli

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Wakuu hivi maraisi wastaafu wanabanwa na sheria wasigombee uraisi hata wakishapumzika term moja ya miaka mitano mfano Mkapa kama inavokuwa Israel Russia mi naona ingefaa tumrudishe Mkapa mana hamna wagombea wa maana 2015
 
Wewe unataka urudishiwe fisadi! Gombea ww
 
Mm nampendekeza Mzee Warioba 2015 kama hamna wagombea!
 
Ina maana ktk watu wote Tz hamna hata mmoja anayefaa?? Sidhani! Mbona Mzee Warioba anafaa sana!!
 
Kwai Warioba record yake ya uongozi alifanya mini Kama si sasa kwa sababu Fulani? Fanya research.
 
Watanzania apewe hata mbuzi tu aongoze,maana binafsi hamjielewi na ushabiki maandandazi.
 
Watanzania apewe hata mbuzi tu aongoze,maana binafsi hamjielewi na ushabiki maandandazi.

Kwani wewe ni raia wa nchi gani? Anyway kwa ufupi nchi yenye raia wakomavu kifikra huwa wana uwezo wa kujiongoza wenyewe hawasubiri uongozi kama nchi nyingine ambako lazima wawepo viongozi madikiteta wa kusimamia maisha ya wananchi wao kwa mitutu na vitisho na kuwanyima demokrasia.

Nchi nyingine bila viongozi maisha ya wananchi hayaendi Tanzania ni tofauti wawepo viongozi wasiwepo wananchi huendelea na maisha yao
 
Nasisitiza waliotajwatajwa na wanaojitaja hamna raisi mpaka sasa fikiria kenya walioshiriki mdahalo wao wale wote kama unakumbuka walikuwa saba watano walikuwa maraisi sasa sisi hamna kitu ibueni wengine au niwarudishie mkapa
 
Back
Top Bottom