Dada Ishengomaf,
Mshukuru Mungu kwamba una chombo kilichoumbika na kupendeza mpaka kinapendwa na wanamke mwingine. Kutumiwa kadi mmeo kweupe (mchana ) ukiwepona wewe nyumbani siyo tatizo, tatizo kama mmeo atajitoa kimwili kwa kahaba huyo!
Mwombe Mungu apate moyo wa kukuthamini...
You know, watu wanaoa na wengine kuolewa kweli wanajua kwa nini wafanya jambo hilo? Wengine wanaweza kuoa kwa sababu wamewaona wenziwao au rafiki zao wanaoa au kuolewa, wengine tamaa ya tendo la ndoa nk Nilichotaka kufahamu ni: (1) Kama wewe umeshaoa/ kuolewa tayari au labda utaoa au kuolewa...
...Kwa nini Mungu ametuagiza "Mtu mme awe na mke wake mwemyewe na mtu mke awe na mme wake mwenyewe?" Kwa nini Mungu aliagiza hayo? nini umuhimu wa ndoa? Unadhani kwa kusema hivyo ulifikiri chochote kuhusu ndoa za jinsia moja kama wanavyofanya watu leo? Unadhani kwa nini?
Mmmuuh Nimejisikia furaha sana kwa majibu mzuri mheshimiwa Bazazi. Meseji yako nzuri sana sana hasa hasa uliponipeleka kiroho. Si wote wanajua hasa Upendo wa Mungu au mapenzi ya Mungu kwa wanadamu. Wengi hawana AGAPE: Upendo unaoongozwa na kanuni na unatia ndani mambo mengi; unahusisha fikira...
Nauliza, neno mapenzi lina maana ya tendo la mapenzi kati ya wapendanao au mapendo kati ya wapendanao? kama neno hilo lina maana ya mapenzi ya kimwili kwa nini mtu amwite mama yake mama mpenzi?
Viongozi Chadema, Tunashukuru sana kwa taarifa hii. Cha muhimu kusitokee tena matatizo katika uchaguzi kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari. Chadema inapendwa na wengi kutokana na kazi kubwa iliyoifanya Bungeni. Iweje kuwe na vurugu zisizoashiria demokrasia?
Demokrasia ya uchaguzi ipewe...
Viongozi Chadema, Tunashukuru sana kwa taarifa hii. Cha muhimu kusitokee tena matatizo katika uchaguzi kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari. Chadema inapendwa na wengi kutokana na kazi kubwa iliyoifanya Bungeni. Iweje kuwe na vurugu zisizoashiria demokrasia?
Demokrasia ya uchaguzi ipewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.