Recent content by makundi4619

  1. M

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Ni kweli tupu Mtoi. Mzee Lukuvi ameandika sura yenye mvuto mkubwa sana katika mchakato wa historia ya uchaguzi wa vyama vingi hapa Tanzania. Ama kweli tumeelewa ni nini kinachosababisha vurugu katika chauzi zetu za kisiasa. Mungu mlinde LUBUVA na wote tuseme AMINA
  2. M

    Kwa ubunifu huu....CHADEMA Itaweza kutoa elimu bure katika ngazi zote

    Ongeza na fedha zinazotozwa na Tan-Roads kwa magari yanayokwenda nchi jirani, royalties kutokana na madini, utalii tuseme nini tuache nini?
  3. M

    Kawambwa, Kilichowafelisha Kidato cha Nne ni Hiki Hapa

    Lyceum: Kwa kiasi fulani nakubalianan na wewe kwamba utandawazi ni tatizo mojawapo linalochangia kupunguza umakini katika masomo. Lakini ni zaidi ya hili mbona wanafunzi wa vijijini kusilkokuwa na hizi luxuries ulizozianiasha hawakufanya vizuri zaidi? Tanzania tusipoangalia tutakuwa taifa la...
  4. M

    Succession Politics: Though underestimated, Kikwete still holds a trump card... Salim Ahmed Salim?

    Rutashubanyuma: I like your good analysis. Salim would be a very good presidential candidate regarding his integrity only if the current political system is overhauled. However, the CCM system that exists today is too wickedly complicated to undo to bring it to its original political intent...
  5. M

    Update: Watatu wahojiwa Zanzibar kuhusiana na mauaji ya Padre na Taarifa ya Polisi

    FJM: si uongozi wa polisi na usalama wa taifa tu wanaotakiwa kujiuzulu bali ni serikali nzima, ya CCM. Mambo haya yote yanatokea kutokana ni kauli mbali mbali, mienendo, upendeleo, uzembe nk. katika kuendeleza udini ambayo kimsingi ni uvunjaji wa Katiba ya nchi yetu pendwa TANZANIA.Wananchi...
  6. M

    JK: mauaji ya mchungaji Geita ni fedheha!

    Wakristo tujiulize hivi kweli tunamwamini Yesu Kristo ipasavyo? Kama ndiyo hatuna haja ya kulumbana na mambo ya aina hii. Yesu anatutosha katika kila hali hata kutakasa vile tunavyovila. Wakristo wa kweli tujikite katika kuleta maendeleo kwa njia ya amani na si vinginevyo la sivyo nchi itaingia...
  7. M

    Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Pasco: Mbona hata Dar kuna wanaotumia kuni ni mkaa ilihali gesi ya kupikia sio tatizo? Umefanya utafiti gani na kufikia hitimisho la kuwa wana Mtwara hawajui wala kuwahi kutumia gesi? Tafadhali usizidi kupaisha hasira za watu wa Mtwara. Jambo muhimu na la msingi kwa sasa ni wananchi walioko...
  8. M

    Picha na habari: Yaliyotokea kijijini Msimbati, Mtwara

    Shizukan, Bibi mpe heshima yake si kibibi! Kama ni kweli aliyekwenda kwake ni kutoka serikalini kutoka Usalama wa Taifa kumsihi Bibi aende nae Dar, basi serikali ya CCM ndiyo primitive kupindukia! Maendeleo yatakuja kwa kushirikisha wananchi wa hadhi na hali zote!!! Inclusiveness of all...
  9. M

    Haiba ya Kinana na CCM

    Mwanangu Mohamed Mtoi, maswali yako ni ya msingi sana. Yanaonyesha ni jinsi gani viongozi wa CCM wamezoea kutoa majibu ya rejareja na kusababisha taabu na shida kwa wananchi. Hakuna mtu mwenye akili ya kawaida asiyejua jinsi biashara ya pembe za ndovu na faru inavyopigwa vita duniani...
  10. M

    Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

    Usisahau kuwa hekima inaweza kutoka kwa aliyesoma au vinginevyo. Kwa taarifa yako kutokujua kusoma kwa huyu diwani ni matokeo ya sera mbovu za elimu chini ya uongozi wa CCM kwa zaidi ya miaka hamsini!!! Katika mchakato wakuleta maendeleo halisi ni lazima kuwashirikisha watu wote ili kila mmoja...
  11. M

    Ujumbe uliofuatana na Kikwete watia aibu mkutano na rais wa Ufaransa

    Candid scope hapo kwenye nyekundu ni manners please!!!
  12. M

    Nukuu ya DR.Ulimboka

    Ndugu WAPOMA tazama kwenye bold na nyekundu ni gloves si cloves. Gloves ni karafuu gloves sijui tuite soksi za mikono? Anayejua atuelimishe tafadhali.
  13. M

    Anguko la CHADEMA lipo njiani

    Mleta uzi ana matatizo. Ruzuku ya CCM chama cha magamba inafanya nini???? Sikumbuki ni lini niliona maelezo kuhusu matumizi ya ruzuku ya CCM au chama chochote cha siasa mbona ameishupalia CHADEMA?. Tafadhali mleta uzi tuonyesha matumizi ya ruzuku wanazopata vyama vingine vya siasa kablba...
  14. M

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Kuomba msamaha ni jambo zuri sana kama ombi hili linatoka moyoni. Ni kipimo gani kitakachoonyesha moyo uliopondeka kwa makosa yaliyotendeka? Ajirudi na akakiri kwa viongozi aliowazunguka kuwa hatarudia makosa yale na afanye kazi kwa moyo mmoja. Kwa tahadhari tu hii apology isije ikawa kama ile...
Back
Top Bottom