Usiwe mgumu wa kuamini kinachoendelea. Tumia mfano mdogo huu, halafu uangalie kauli yako kuwa "upinzani bado sana kuing'oa CCM".
Mwaka 2005, Kikwete alishinda kwa kupata kura 9,123,952 sawa na 80.28%, aliyefuata ni Lipumba (CUF) kwa kura 1,327,125 (11.68%), na watatu ni Mbowe (CHADEMA) kwa kura...