Recent content by makudupa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimelipia umeme TANESCO lakini sijafungiwa

    Jamani wana JF, Naombeni msaada kwa hawa TANESCO nifanyeje coz nililipia kufungiwa umeme tangu mwezi wa 9 tr 19 mpaka leo tr 19 mwezi 12 sijaona kitu chochote kikifanyika, nimejaribu kufuatilia kwa kila njia wananizungusha tu, kama humu kunamkubwa yoyote wa TANESCO anisaidie.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Kwa kweli sijaelewa kz
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania unapaswa kuungwa mkono

    Kweli mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: CCM vs CHADEMA Shinyanga Mjini. Toa tathmini yako

    Ukawa ni mpango w mungu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Ukawa CHADEMA ni mbele kwa mbele
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Huo ni udaku 2
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Wachawi ni wengi
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Mwaka huu wao hata waoge maji ya magadi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Wanafanya maandamano jijini Arusha na Mwanga Mkoani Kilimanjaro

    Maandamano ya philps yalikuja yakaungana na yalio tokea mianzin yakakutana sanawari yakashuka central NAWAONEA HURUMA SANA HAWA POLIC WANAO LALA NYUMBA ZA BATI CHIN MPAKA JUU Wanashindwa kuungana na maskin wenzao kudai kahi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi watumia milioni 200 kuzungukia ofisi za Chadema nchini

    Huo ni ufisadi mwingine tena Nawomba makamanda wote cdm tuungane kwa pamoja kufanikisha maandamano ya kupinga ufisad unao endelea dodoma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu ndogo Dodoma

    Sasa naye mrema kafata nn? Au sifa 2 shenz time
  12. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

    kw vyovyote vile maccm ndo kyama chao mwakan
  13. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA Wanahofia Kuzomewa Pindi Wakirudi BMK

    Unaleta hoja pumba
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

    Baadhi ya wajumbe na waandishi wa habari.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha

    Baadhi ya wagombea wajumbe mkutano mkuu.
Back
Top Bottom