eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,233
- 16,202
Ni ukweli usiopingika kua upinzani nchini tanzania una faida kubwa sana kwa wananchi tangu 2005 mpaka sasa upinzani nchini tanzania umeibua mambo mengi yaliyokua yanafichwa na chama cha mapinduzi kwa kua tu wao ndio waliokua na wabunge wengi sana au wanaimiliki serikali kwa kuiacha iendeshe mambo kiholela bila usimamizi wa kutosha
Wabunge hawa wa ccm wako tayari kwenda kinyume na kazi zao ili mradi kuitetea serikali wanayoiongoza
Tangu 2005 mpaka sasa maendeleo yaliyopo yamechangiwa na upinzani uliobora kwa 60% kwa kupaza kwao sauti juu ya yale yanayoendelea katika nchi
Ufisadi ccm wanahusika nao kwa 90% kwa kua wabunge wao ni watu wa kuutetea bila aibu
Rushwa imekithiri kwa sababu ya ccm kwa 90%
Na inasikitisha sana pale takukuru yenyewe inapojiusisha pia na rushwa huku ikisahau majukumu yake
Police mahakama serikali yenyewe ni taasisi zinazopaswa kukabiliana na rushwa lakini zimekua ndio wangozaji wa rushwa bila kuisahau TRA
Na taasisi hizi zinaongozwa na vigogo wa ccm
Hatuna budi kuunga mkono upinzani kwa kua kwa makelele yao yakiungwa mkono na wananchi yamesaidia kupunguza vitendo hivi
Pia kumtaka magufuli kufuata kile wapinzani wanachomwambia kwa kua ndio marafiki zake wakubwa
Nimwambie tu marafiki zake hawapo ccm asije akajidanganya