Recent content by makoye78

  1. makoye78

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ngoja nione nitapata likes toka kwa nani!
  2. makoye78

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Mkuu hauna ka picha hata kamoja ka house girl tumcheki?
  3. makoye78

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kitanzania akamatwa na Cocaine India

    Mkuu umenichekesha sana!
  4. makoye78

    JamiiForums Tanzania Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Wako viwanda na biashara bado! mfianchi.
  5. makoye78

    JamiiForums Tanzania Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Kaushauri ka layman siyo?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. makoye78

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amekiri kunisaliti

    Ahahaaaaaa.... Mkuu umetisha!
  7. makoye78

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa zaidi ya 4000 watelekezwa Dodoma

    Pole sana mkuu, lakini sasa na wewe ulikuwa wapi kuyasema yote haya mapema? Umechelewa hadi mafuriko haya hayazuiliki tena kwa sasa! Haya bwana.... Tuseme tu kwamba, nenda baba... Magufuli nenda!
  8. makoye78

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Na bado, kuna muswada wa ndoa za jinsia moja pia utasomwa kwa dharura , na utapitishwa kwa Ndiooooo....Sasa wanaume wenzangu mkitongozwa jamani msirushe ngumi.
  9. makoye78

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

    Acha kupotosha watu, huu siyo mwezi wa toba kwa kila mtu! Wengine toba yao ni kwaresma!
  10. makoye78

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu watatu wafariki katika mapambano na Polisi, wawili wanasadikiwa kuwa Al Shabaab

    Hao ni Panya Road tu, polisi ya Tanzania bado haijawa na uwezo wa kupambana na Al shabab!
  11. makoye78

    JamiiForums Tanzania Burundi Blocks Foreigners at Border as Violence Escalates

    Ni sahihi kabisa!
  12. makoye78

    JamiiForums Tanzania AJALI: Fuso lagongana na Semi Trailer na kusababisha vifo huko Gairo

    Hizi ajali ni ka upepo tu, katapita msihofu!
  13. makoye78

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Amkeni akina baba wenzangu! Kumekucha, tokeni usingizini msiibiwe!
  14. makoye78

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Rip captain!
Back
Top Bottom