Recent content by makotso

  1. M

    Akiba Commercial Bank na Manager asiyetumia akili

    ...... hizo ndio bank zetu,unatafuta hela kwa shida na bado wakunyanyase! basi fanya maamuzi magumu ya kuhama na hamia bank inayojali wateja,fullstop!
  2. M

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yaihukumu ITV kwa habari za uongo, watakiwa kuomba radhi

    ......tusipotenda haki kwa vyombo vyote vya habari hakika wananchi hawatatuelewa sisi tulioshika usukani! watapiga kura ya hasira na huruma.
  3. M

    Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Hivi naota haya majina au ni kweli hawa watajwa wanafanya biashara hii? Kama ndivyo tuombe Mungu atusaidie lakini kwa hali ya ubinadamu hatutaweza.
  4. M

    Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

    Tuko salama,kwa sababu intelligensia yetu ya TZ imesema hivo.Kiongozi unapokuwa na information zote huna muda wa kufikiria zaidi ni kumake decisions fulstop.Unawafahamu wauza unga sasa, unafikiria nini wakati unatakiwa uchukue hatua basi kinyume chake.....Hueleweki!! Tatizo letu serikali...
  5. M

    Mh. Lema: Wakati Kikwete akiomba kondomu kwa Obama, magazeti nayo yaliishia kuandika viuno

    Bado watanzania wanadhani mtu akiweza kuongea kiingereza ndiyo anaweza kuwa kiongozi bora! sio kweli sana sana watu wengi waliosoma ndiyo waliotufikisha hapa,Mikataba mibovu imesainiwa na watu waliosoma sana tu na kwa kodi ya watanzania.Watu wanaosema ndiyo kwa kila kitu bungeni ni wenye elimu...
  6. M

    Naishauri CCM Kuelekea 2015

    Big Result Now! from no where,copy and paste! Big result hata msongamano wa DAR tu umeshindikana,Big result ya nini ?Kuuza madawa au rushwa na Ufisadi! sielewi,Kilimo kwanza vipi na Power tiller,MKUKUTA na MKURABITA vipi?
  7. M

    Tabia hii si nzuri na niya hatari kwa CHADEMA, badilikeni

    Ukweli polisi Tanzania hawako huru katika kutenda kazi yao! Wako biased mno na huko tuendako wasipobadilika kazi yao itakuwa ngumu. Polisi jamii itakufa kifo cha mende.
  8. M

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Tatizo la viongozi kama hawa ni UNAFIKI,Hawa ni mafarisayo wanaopenda kuvaa mavazi meupe wakati mioyo yao imekunjana na imeota fungus.Kwa nini mnashindwa kusema ukweli ya kwamba vyama vyote haviruhusiwi kuwa na vikundi vya ulinzi na kwa kuanzia Green Guard ifutwe ili na wengine wanaotaka...
  9. M

    CHADEMA yaanika unyama wa kundi la Green Guard ya CCM

    Hivi naomba nisaidiwe,kila mtu na kila chama kinalalamika kuwa huyu ni gaidi na huyu si gaidi! Ni chombo kipi sasa kinaweza kututoa kwenye huu mkanganyiko kama sio polisi? kwa nini polisi wasifanye a thorough investigation? na nini maana ya chama tawala kuunda serikali?serikali ni kwa ajili ya...
  10. M

    Hotuba za Baba wa Taifa TBC zimeisha?

    Hawana tatizo kwani wao upinzani na vyombo vingine hauwahusu,wanakula kodi za watanzania!
  11. M

    Hivi mh. Godbless Lema ni kweli unaufahamu mji wa Arusha au?

    Hakika nawaambieni watambiwa maneno mazuri juu ya saa ya ukombozi ikiwa imefika lakini hawatasikia,wataziona ishara nyingi na za aina tofauti za ujio wa mkombozi wao lakini hawataziamini,hakika wametiwa uziwi na upofu!Watanzania tujifunze na tuelimike mabadiliko hayaji kama zawadi toka kwa yule...
  12. M

    Zijue hatua 9 kuu, za Chama Kinachoelekea Kuanguka

    Kuna hatua nyingine umeziruka kama kurekebisha sera na sheria zinazopelekea kuunda serikali ya mseto/umoja wa kitaifa hasa pale inadhihirika chama tawala kinaanza kuzidiwa nguvu na upinzani kama ilivofanyika kule zanzibar na Kenya ikiwa ni mkakati wa kupunguza na hatimaye kuua upinzani.
  13. M

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Doa lake ni namna walivojenga hoja ya kuuza nyumba za umma na mchakato mzima wa kutekeleza azma hiyo ya kuuza nyumba za watanzania wote kwa bei wanayojua wao! Otherwise ni miongoni mwa watu ambao kama CCM wangekuwa hawachumii tumboni angeweza kupeperusha bendera ya CCM, LAKINI kwa mfumo wao wa...
  14. M

    Jeshi la polisi, viongozi wenye fikra dhaifu Tz - Jifunzeni toka Afrika Kusini

    Aisee kuna mwenyekiti wa CHADEMA kule Makete kabambikiwa kesi ya uzushi na polisi na amefungwa miezi tisa(9).Jamani CCM ni hatari tusipoangalia tutashindwa hatutaeleweka kwa raia wetu!
  15. M

    Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Futa tuone itakuwaje! itakupasa ukaishi dunia nyingine;hakika nakwambia
Back
Top Bottom