Mkuu nipo Lindi.....tafadhali ukifika hatua ya kununua bati baada ya kujiridhisha tafadhali naomba tupe mrejesho....mimi nimeshamaliza boma nazchanga naiman panapo uhai na kipato....mwakani mwezi wa sita nitanunua bati...naimani umekusanya maoni yatakayokusaidia kuamua hasa ukizingatia upo...
Wana wanajisahau Sana,Nlikuwa nae mshikaj mwingne tena, baada ya wakwanza kumuibia bimkubwa familia ikasahau ikamsaidia mwingine kumsomesha taratibu akaanza kukamata vijisent hatimae akaanza kuwaongelea ovyo wazee wangu...kiukweli had leo najtahid kumsamehe....aliongea ovyo Sana licha ya msaada...
Alisema kwa wachezaj wakubwa Kama Henry na wengine aliweza kuwaruhusu waondoke kulingana na ofa na falsafa ya club kwa muda ule kuwakuza vijana wadogo lakin kwa vijana wadogo hakufurahiswa na kuondoka kwao akawaweka wazi ukiondoka huwez kurudi
Habari wana jukwaa,Leo nimewaza Sana ni mara ngapi maisha yamenipa furaha nkahesabu lakini sikuweza kumaliza wala kukumbuka siku nlizofurahi maana ni nyingi Sana
Lakini nkajiuliza tena Mara ngapi mihangaiko ya maisha imenitenganisha na rafiki zangu wa dhati kabisa iwe kwa umbali wa macho yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.