Recent content by Makosakuumbwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

    Kazi ni moja ila NVR unatumia Utp Cable na kama Haina POE unatumia adaptor kwenye camera na DVR unatumia coaxial cable pamoja na power supply.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Unaujuwa Uislamu au unaropoka tuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Nissan xtrail inajizima sana

    Umeshawahi kuitumia au unasikiliza maneno ya mitandao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Nissan xtrail inajizima sana

    Badili mafuta ya hydraulic kwenye gear box Tatizo ni hilo asikudanganye mtu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Kuzisoma dini zetu hatutaki tukipata mistari miwili kwenye biblia au Aya mbili kwenye kuruani basi nawe umeshakuwa mjuzi kwenye dini, tusomeni dini zetu tuwache ujuwaji wewe kama una misimamo Yako kaa nayo mwenyewe usitake Kila mtu akufuate wewe kwanza sote hizi dini tumezipata kutoka Kwa wazazi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaenda Tabora kesho nikuchangie!

    Ingia Twende (IT)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zijue mbwembwe za mawakili

    Mkuu nakubaliana na Wewe Huwa naona pingamizi la Kisheria Huwa tunapoteza muda. Nikupe mkasa wangu kulikuwa na shauri Baraza la Kata nikashinda ukapita muda rufaa jamaa akakata rufaa Baraza la ardhi wilaya kukata rufaa nnje ya muda ila akakosea kiapo, wakili akaweka pingamizi la Kisheria...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usuluhisho wa migogoro ya ndoa bora wapi, Baraza la Kata au Dawati la Jinsia?

    Katika Vitu vinapoteza Muda na pia hakuna Maamuzi ni Baraza la Kata na Bakwata sijui kwanini Serikali hivi Vitu hawavifuti.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Nunua Cheni au Hereni ya Dhahabu Vaa ila iwe Pure Gold.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

    Muogope Sanaa Rafiki au Ndugu kwenye Maswala ya Mafanikio, Nina Kisa Kizito Sanaa kuhusu Mafanikio natamani kusimulia hapa Ili iwe Funzo Kwa wengine, Tatizo sio mwandishi Mzuri na pia Kisa hakija fika mwisho. Ila tuombe uzima nitakileta.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kutolewa majini/Mashetwani

    Pole Sanaa Mkuu jiandae kuwa Mtabibu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

    Hata siku moja usimwambie Mwanamke hujapendeza au chakula sio kizuri.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

    Kilimanjaro Wametisha mpaka Mbowe.....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Masaa yajayo ni muhimu zaidi kuliko yaliyotangulia

    Ukiingia JF na Twitter unaweza sema mtaani hakufai. Nimeenda kupiga kura hata nusu saa sijachukua na sasa Niko nyumbani napepewa na feni. Tusiwe tunawapotosha watu unachokipenda wewe si lazima kila mtu akipende. Uchaguzi una matokeo mawili kushinda au kushindwa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuipigia Kura Djibout Badala ya Kenya ni unafiki mkubwa, Kenya tunafanya nae biashara hao wengine vipi?

    Mm kwa mtazamo wangu hakuna shida maana sote ni Waafrika na kura ni utashi wa mtu. Mwisho wa siku tutakuja kusema huyu Mchaga mbona amempigia kura Msukuma au huyu Muislamu mbona amempigia kura Mkristo. Tuache mambo ya Ubaguzi sisi sote ni Wamoja ila kwenye swala la Kitaifa kila mtu anamaamuzi...
Back
Top Bottom