Recent content by makosahittu

  1. makosahittu

    Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

    Kweli kabisa. Ndo maaana ata mimi natazama stile ya uchezaji wa CR7 afu naona kuna wachezaji zaidi yake wanapiga mpira sana. Bila ya ivo yeye hafungi
  2. makosahittu

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Mimi natumia hii ni Tsh 6000 adi 5000/=
  3. makosahittu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    -Anaefaham Applications nzuri za betting ilio_connected na TiGO pesa anitumie nianze kuitumia. NOTE: ISIWE m-bet
  4. makosahittu

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nyie yale makombe ya EUFA Champions mengi ya miaka ya zamani sana . Karne hii ya kizazi changu Barca kakuzidi.
  5. makosahittu

    Meneja Sallam: Off to Mombasa, Kiba inabidi ufanye kitu safari hii

    Lakini si anamtoa kimaisha ya Muziki?
  6. makosahittu

    Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

    CR 7 ana record za ajabu Sana. Kabeba UERO na UEFA SUPER CUP Pasi na yeye kucheza na Sifa zote kapewa yeye. -Kupiga hat tricks timu mbovu ni nyingi Sana. NATAMANI CR 7 angecheza na timu Za South America .
  7. makosahittu

    UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    Ambacho Kina MIAKA mingi Sana. UDOM kimeanza 2007. Kwa hatua walionayo wanastahili sifa.
  8. makosahittu

    Shafii Dauda anafaa kuadhibiwa kwa uchochezi

    Sio kweli. Nenda you tube tazama. Jamaa hakumgusa wala. Refa ni muhuni sana
  9. makosahittu

    Naomba ushauri wenu wanaJF

    Hi! Mimi ni miongoni mwa wanaosubiria ajira ya ualimu mwaka huu. Lakini nilifanya application ya kufundisha MIEZI 3 nyuma katika shule ya private. Juzi tu nimeitwa nimeambiwa napewa mkataba kuanzia miaka miwili. Lakini niliulizwa Swali ambalo nimeshindwa kujibu na nimepewa muda nijibu ...
  10. makosahittu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    HAMIENI TIMU ZA MAANA KAMA BARCELONA,ATLETICO MADRID, BERYAN, R.MADRID , MAN CITY NA JUVE
  11. makosahittu

    Hizi sasa dharau brother Pep

    Tunataka TIMU ZA EPL. WENGI WANASEMA ALIKUA ANAFUNDISHA LIGI MBOVU KAMA SPAIN, GERMANY . NATAKA AWACHARAZE TENA NA MESSI AENDE MAN CITY
Back
Top Bottom