Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

1. Advertisement-linatamkwa 'Advatizment' na siyo 'Advataizment'
2. Pharaoh-linatamkwa 'Fero' na siyo 'Farao'
3. Answer-'ansa' na siyo 'answa'
4. Hour-'awa' na siyo 'hawa'
5. Chaos-'keos' na siyo vinginevyo
N.B Karibuni kwa nyongeza
An hour
 
1. Advertisement-linatamkwa 'Advatizment' na siyo 'Advataizment'
2. Pharaoh-linatamkwa 'Fero' na siyo 'Farao'
3. Answer-'ansa' na siyo 'answa'
4. Hour-'awa' na siyo 'hawa'
5. Chaos-'keos' na siyo vinginevyo
N.B Karibuni kwa nyongeza
aint mad at cha outa, em, fckng birds? oucha, gotta, wanna, we at the crib??
 
Kila taifa linatamka kulingana na lafudhi yao ingawa kiingereza ni kile kile. Kuna nchi ambazo hata uwashikie bakora hawataweza kutamka Kiingereza kama inavyotakiwa, Wabongo tunajitahidi sana kwa sababu lafudhi yetu haijaharibu lugha ya Kiingereza
Balaa kwa wahindi au wanaigeria.
 
Kuna website inaitwa youGlish.com

How does it work? There’s a huge mass of content available on YouTube. Some YouTube videos include transcripts. YouGlish lets you search those transcripts. Type a word, press Enter, and you get a video where someone is saying that word. The video will automatically start from the relevant sentence, so there’s no need to look for the right place.
 
Kuna hawa WAKENYA wameajiriwa kwenye vishule vinaitwa medium wanadang'anja watoto matamshi ya ajabu mfano neno education ...... wao wanawaambia watamke "edukeshon" sijui ni kiingereza cha wapi hiki
 
Back
Top Bottom