Recent content by makomelo

  1. M

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    nimeamini kweli wewe ndugu yangu wa dom ni bomu kichwani yaani hata typing error unahoji wakati watu tunatumia smart phone
  2. M

    Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    umenene ndugu kuna watu wakijengewa barabara au kuletewa bomba la maji bado wanaona hisani huku wanalipa kodi
  3. M

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    acheni porojo hizo kaxi kila mtu anazo
  4. M

    CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    kiongozi gani wa ukawakatangaza maandamano kesho au zile za kucopy kwemye mitandao, lowasa kasema wananchi watulie
  5. M

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    ndugu yangu ukiwa ccm hata uwe fisadi , muuza unga sio kosa kosa ukitoka nje ya ccm kila kitu utaambiwa fisadi hata kunywa maji!
  6. M

    Wakazi wa Ilala Bungoni wauzwa kwa mwekezaji

    wauzwe tu tukiwaambua ccm si rafiki wa fukara hawasikii
  7. M

    ELIMU ELIMU ELIMU! kwani kiwango cha elimu kwa watanzania kikoje kwa sasa?

    umesahau jambo moja kama watu wanaweza aminishwa kuwa ufisadi wa nchi ni richmond tu ila escrow, epa, mabehewa feki, uuzaji wa nyumba za serikali na kivuki feki si ufisadi
  8. M

    Kauli ya Kikwete Uzinduzi wa Mitambo Kinyerezi Dar es salaam

    jf ingekuwa inaonyesha umri na elimu ya mchangiaji ili tusiwe tunapoteza kujibu hoja watu wengine, mtu anafikiri umeme unazalishwa na maji tu hakuna means zingine ni shida
  9. M

    Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

    kwani alselema ina maana gani?
  10. M

    Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

    acha kulinganisha uchaguzi ea 95 na sasa kumbuka ndo ulikuwa mwanzo wa vyama vingi, kuhusu ilani hata magufuri anashika kitabu anachoongea hakipo kabisa katika kitabu hicho
  11. M

    CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

    hivi hata wewe bado unamawaxo ya picha za guine
  12. M

    Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

    sijui unajitambua au ushabiki tu, yaana lowassa yupo juu ya sheria mpaka serkali inamuogopa?
Back
Top Bottom