Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

mkuu siasa ni watu, kama ilani ndo ushindi chadema au Cuf wamekuwa na ilani nzuri tu lakini hawajahi kufikisha asilimia 30 ya kura za urais, mwaka huu hali ilikuwa inaelekea kuwa mbaya zaidi lakini kwa sasa nchi ina mwamko mpya, unataka asset ipi zaidi ya hii ya chama kupata nguvu kwenye mioyo ya wananchi?
 
Wananchi wanajua kuwa CCM haijawahi kuwa na ilani mbaya

Wananchi hata hawataki kulisikia hilo neno ilani

Wananchi wanajua kuwa wakati mwingine ilani ni vijimaneno vya kiujanja ujanja
 
Lile sharti lako kwa Lowasa kuwa aje na watu, wewe ukaona hana watu, ukatoka UKAWA limedhihirisha kwamba utafiti wako unaojikweza nao haukufanyika kiweredi maana watu aliokuja nao ni zaidi ya ukiokuwa nao. Nadhani mfuriko unayaona. Lakini hebu fikiria mzizi wa CCM kwenda UKAWA na kusema Peopleeeeeees! unadhani CCM itendelea kuota au ndo hivyo inakauka. Kungunge jembe!, uzee wa mwili ni issue nyingine, kichwa bado kiko fit. Mods acha ushabiki, kuna gamba linaondoa hoja zetu.
Mkuu Slaa alitaka mbeleko ya Lowasa, angekubali kumbeba mbona ange futa tuhuma zooote dhidi yake!
 
Kuna mambo mengine hayahitaji kutumia akili mtu anasema mwaka huu hata kwenye ubunge tutafanya vibaya, tatizo nini mpaka iwe hivyo? Yaani watu hawata mchagua sugu au msigwa kwa sababu ya lowassa au itakuwaje?
 
Mrema alijaza zaidi ya hao,gari lake lilisukumwa kila alipokwenda,ila matokeo wote mliona
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

kama idadi kubwa ya watu siyo dalili ya kuungwa mkono kwa nini mafisiemu wanahangaika kuunganisha picha hata pale ambapo mkutano ulikuwa na watu kiduchu. lowasa kawafunika hata mkatae lakini ndo habari ya mjini maana mnauangaika kutafuta mbinu za kushinda maana mmeshikwa pabaya vijembe na majungu ndo ilani yenu? tumechoka kudanganywa mmnashinda kws lipi jipya mnaturudisha nyuma badala ya kutupeleka mbele. mashabuki wa ccm mmejitoa ufahamu mkijua kweli lakini mnajifanya hamuoni. hatq kama hamupendi wapinzani lakini ccm ni kichaka kingine
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

Ukiona Mtanzania wa leo anaishi kwa historia ujue kwake pia hakuna amani.
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

acha kulinganisha uchaguzi ea 95 na sasa kumbuka ndo ulikuwa mwanzo wa vyama vingi, kuhusu ilani hata magufuri anashika kitabu anachoongea hakipo kabisa katika kitabu hicho
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

chief, kwa kauli yako hapo juu in bold I take it kuwa wewe ni ACT au TLP, etc.... right?
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

Unamaanisha nini kusema uchaguzi huu tunashindwa vibay sana? Una uhakika gani kuwa ccm watashinda? kura watatoa wapi? Nani atawapigia kura nyingi mpaka washinde vibaya sana? au unajua jinsi mnavyoiba kura na sasa unatujulisha kuwa mipngo yenu imeshakamilika ya kuiba kura?

Mrema alishinda mkaiba, Slaa akashinda mkaiba. sasa unaamini mnaiba tena? Kwanini huamin kwamba mwaka huu hamtaweza kuiba?
 
Leta ushahidi hapa acha kudanganya umma, mahakama zipo mnabakin kumumunya maneno mdomoni fisadi fisadi, vua gamba vua gamba. I TELL YOU MTAVUA NYIE OCTOBA 25, TAKE IT FROM ME!
 
Mletamada kama pangekua na selection ya Thrade bora ya mwezi , basi hii ya kwako ningeipendekeza!

Points zako ziko openly , maudhui yanaeleweka , ukweli wa ulichokisema unaonekana !
Usiwe dissapointed na hii mijitu mipuuzi iliyoshikiwa akili .
 
Nyinyi ndio mmekuja na mafuriko ya bwana mkubwa ....kura za mitandao yote hata humu JF Dr Slaa alikuwa akiongoza ....kuna watu humu waliapa kwa miungu yao kuwa Chadema isipo mteua Dr Slaa wanajitoa lakini sasa ndio wanaoongoza jahazi la kumtukana matusi yote .....uchaguzi ukipita hukumu ni hapa hapa JF

Binafsi hapa naona Dr. Slaa naye katuchuuza, ghafla kageukia upande wa pili na kutaka kutuaminisha kwamba ubaya wooote wa CCM aliokuwa akitwambia na kutuaminisha ni Lowasa tu,
jama -hadi Escrow ya juzi,
- hadi twiga
- hadi sembe
- hadi tembo wetu
- vitalu vya gesi yetu
- ubakaji wa katiba yetu
Kimsingi hapo Dr. ametukoroga wengi tuliomuamini na kufanya waliowengi wamuone Lowassa kama vile anaonewa! and take it from me.. haya mahaba mengine na kura nyingi atakazo pata zitakuwa ni za huruma zaidi.
 
Unamaanisha nini kusema uchaguzi huu tunashindwa vibay sana? Una uhakika gani kuwa ccm watashinda? kura watatoa wapi? Nani atawapigia kura nyingi mpaka washinde vibaya sana? au unajua jinsi mnavyoiba kura na sasa unatujulisha kuwa mipngo yenu imeshakamilika ya kuiba kura?

Mrema alishinda mkaiba, Slaa akashinda mkaiba. sasa unaamini mnaiba tena? Kwanini huamin kwamba mwaka huu hamtaweza kuiba?

Rais ni Magufuli wewe usipoteze muda na nguvu zako na hiyo kura yako moja.
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

Amin ivyoooo ivyooo!!!!
 
Mrema alijaza zaidi ya hao,gari lake lilisukumwa kila alipokwenda,ila matokeo wote mliona

Kipindi cha mrema na ss ni tofauti, kuanzia mazingira nk.

Mwamko wa vijana waliojiandikusha kupiga kura tofauti na wakat wa Mrema.
Pia wasomi wa Elim ya juu pia ni wengi sn hasa vijana ambao wako mitaani jobless......

Pili kumbuka those days system ilikuwa ipo vzr..... Kwa pia Nyerere alikuwa last say.
Sio ss, mfano mdogo system ilikuwa imeisha chagua mtu wake, lkn kilichotokea kila mtu anajua Ddm!

Mrema yy km yy alikuwa Ana jina hasa mijini hakuwa na back up kubwa ukizingatia vyama vingi ndo Kwanza walikuwa na Muda mchache tangu vimeanza.

Kingine nachokiona watu wamechoka, ogopa sn mtu akichoka, yy anawaza kubadilisha hajali ya mbele. Pia wengi si kwamba hawampendi magufuli km mgombea lkn hawaipendi ccm.

Lowasa anaungwa mkono na ht ambao wako huko huko..... Ukiacha waliohama wabaya ni wale waliokaa kimya wakati mioyoni..... Na magufuli uzuri anajua hili, ndo maana aliwasema

# maoni yangu #
 
Lile sharti lako kwa Lowasa kuwa aje na watu, wewe ukaona hana watu, ukatoka UKAWA limedhihirisha kwamba utafiti wako unaojikweza nao haukufanyika kiweredi maana watu aliokuja nao ni zaidi ya ukiokuwa nao. Nadhani mfuriko unayaona. Lakini hebu fikiria mzizi wa CCM kwenda UKAWA na kusema Peopleeeeeees! unadhani CCM itendelea kuota au ndo hivyo inakauka. Kungunge jembe!, uzee wa mwili ni issue nyingine, kichwa bado kiko fit. Mods acha ushabiki, kuna gamba linaondoa hoja zetu.

Ebwana ee, kila siku namuona kingunge bungeni analala tu kama vile kaisha, kumbe yupo fit vibaya sana huyo Magufuli hawezi kufikia afya Ya kingunge, na ukitaka kujua muangalie akiongea utafikiri kijana, mungu mpe umri huyu mzee wenye kheri nae, aone mabadiliko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom